Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Kwahiyo ukiwa mtu wa viwanja lazima unywe pombe?[emoji15]

Na nini kinakufanya uhisi mi mtu wa viwanja?
Kuna mdada mmoja alimlazimisha mlevi azame chumvini yule mlevi si alitapikia humo lahaula.
Mpaka leo hataki kusikia walevi.
 
Hivi Wine sio Pombe?
Nakumbuka shoga yangu tena ni muislamu sala tano, wakati niko huko Tanzania (Dar) alikuwa anapenda kuambatana na sisi tunapojilipua kwenda kwenye vinywaji. Cha ajabu akawa anakunywa SAVANNAH. Kila tukimwambia hiyo ni pombe tena ina kilevi kikubwa alikuwa anakataa.
Miss you Shufaa
 
Naomba number yake🤔[emoji85]
 
Back
Top Bottom