Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Mnakuwa na stress na frustrations kali sana..

Maana hamna njia nyingine ya kutoa mawazo.
Naamini unywe bia usinywe bia frustrations za life hazikwepeki ni jinsi ya wewe tu kuzi handle hzo frustrations
 
ha ha ha ukifanya utafiti unaweza ukagundua wengi wanaotumia vinywaji bila kilevi huwa ni waongo na wanafiki,lakini watumiaji wa vinywaji vikali huwa wanafunguka na kusema ukweli.Hata kwenye mishe marafiki wanaotumia kileo ndio huwa na mawazo ya kuleta maendeleo.
Pia wanywa soda wanaongoza kwa umbea na usengenyaji,mtandao wao wa kijamii ni instagram kwa mange na mobeto
 
Pia wanywa soda wanaongoza kwa umbea na usengenyaji,mtandao wao wa kijamii ni instagram kwa mange na mobeto
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wacha kutusingizia mkuu....mbona mi situmii kilevi na Instagram naisikia tu kwa watu na sijui hata ikoje..
 
Back
Top Bottom