MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

Mtafutie yaya Buza, Tandale au Mwananyamala. Umpeleke mtoto ashinde huko asubuhi hadi jioni. Ninakuhakikishia baada ya miezi mitatu atakuimbia nyimbo zote za Diamond.
😳 😳 😳
 
Kuwahi au kuchelewa kuongea kwa mtoto wala sio ugonjwa!inategemaea na mtoto wako unamlinganisha na mtoto wa yupi?au inategemea na unataka mtoto wako aongee nn kwa umri gan!so kila mtoto anadevelopment milestone yake so itategemea na unamlinganisha na yupi ili useme kachelewa kuongea au kawahi so nadhani ideal kubwa hapo ni kila mtoto na development milestone yake.
 
Mbona kwa.mtoto hilo sio tatzo kwa.sababu mtoto anapozaliwa uzito wake huongezeka mara mbili ya aliozaliwa nao baada ya miez mitatu na mara tatu ya uzto aliozaliwa nao baada ya miez 6 so ni kawaida, na next time zitakaposhindwa kuongezeka au kushuka utuambie sawa.
 
Mazingira ya mtoto sio mazuri... hana
1. Watoto rika lake + wakubwa kwake ambao ana socialize nao...
2. Mama+ Baba+ House gal hawana muda wa kutosha kuongeA na mtoto...
 
Habari dada...kwa kweri umenigusa Sana mwanangu WA kike 4yrs now anachangamoto kama hiyo anaweza hesabu 1-10 kwa kingereza na anapont V2 anavyo vitaka hospital wanasema ana tatizo lolote...imepita miaka 11 toka upitie changamoto nayopambana nayo naomba unisaidie ulitatuaje changamoto hiyo
 

Tunahitaji kuhusisha na mishipa ya fahamu / neurology, umeme wake / energy
Circulation solutions , ambapo itaenda kufanya stimulation na wepesi kwenye Neva za ubongo na kuondoa hali ya uzito , watapata kuongea vizuri , Ila pia tungehitaji kufanya diagnosis kulingana na Mifumo yetu ya matibabu !

shida inaweza kuwa ni Phlegm toxin kwenye ubongo !

Tucheki tufanye diagnosis, ili tujue exactly kitu gani kinafanya huo ucheleweshwaji

Cont: +255757577995 / +255653048888
www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…