Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
😳 😳 😳Mtafutie yaya Buza, Tandale au Mwananyamala. Umpeleke mtoto ashinde huko asubuhi hadi jioni. Ninakuhakikishia baada ya miezi mitatu atakuimbia nyimbo zote za Diamond.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳 😳 😳Mtafutie yaya Buza, Tandale au Mwananyamala. Umpeleke mtoto ashinde huko asubuhi hadi jioni. Ninakuhakikishia baada ya miezi mitatu atakuimbia nyimbo zote za Diamond.
UsonjiAutism
Mbona kwa.mtoto hilo sio tatzo kwa.sababu mtoto anapozaliwa uzito wake huongezeka mara mbili ya aliozaliwa nao baada ya miez mitatu na mara tatu ya uzto aliozaliwa nao baada ya miez 6 so ni kawaida, na next time zitakaposhindwa kuongezeka au kushuka utuambie sawa.naomba kuuliza,mtoto alizaliwa na kilo 3 na point 2,kliniki yake ya kwanza akawa na kilo 5 point 3,na kliniki yake ya pili akawa na kilo 8 point 2,je kwa ongezeko ilo la kilo 2 ndani ya mwezi na ongezeko la kilo 3 mwezi unaofuata ni sawa mtoto kwa sasaivi ana miezi miwili na nusu
Habari dada...kwa kweri umenigusa Sana mwanangu WA kike 4yrs now anachangamoto kama hiyo anaweza hesabu 1-10 kwa kingereza na anapont V2 anavyo vitaka hospital wanasema ana tatizo lolote...imepita miaka 11 toka upitie changamoto nayopambana nayo naomba unisaidie ulitatuaje changamoto hiyoNaombeni msaada wenu wataalam wa afya,
mwanangu wa kiume ana miaka minne sasa but hajaanza kuongea. Napatwa na wasiwasi sana, nyimbo anaimba vizuri japo hatamki maneno yote ya nyimbo sawsawa lakini ukimsemesha hajibu but kuskia anaskia na anaelewa.
Wataalam wamempima hana tatizo lolote la ubongo yaani hata kwa shida yeyote haongei anakushika mkono na kukuonesha anachotaka.
NISAIDIEN JAMAN HIVI INAWEZEKANA AKAONGEA HATA AKIWA NA MIAKA MITANO?
Nimempeleka shule but haijasaidia
Habari dada...kwa kweri umenigusa Sana mwanangu WA kike 4yrs now anachangamoto kama hiyo anaweza hesabu 1-10 kwa kingereza na anapont V2 anavyo vitaka hospital wanasema ana tatizo lolote...imepita miaka 11 toka upitie changamoto nayopambana nayo naomba unisaidie ulitatuaje changamoto hiyo