Justine Kalikawe mwanamuziki wa Reggae kutoka Kagera, nilisikia kwamba alifariki dunia muda tu! Kama kumbukumbu zangu ziko sawa!Justine Kalikawa miaka ya 90 mpaka 2000s Alikuwa mwimbaji mzuri sana wa Regge na zilipendwa sana..
Hasa ile "panapofuka moshi" na "wamachinga"
Hivi huyu jamaa yuko wapi
Huyu katangulia mkuuJustine Kalikawa miaka ya 90 mpaka 2000s Alikuwa mwimbaji mzuri sana wa Regge na zilipendwa sana..
Hasa ile "panapofuka moshi" na "wamachinga"
Hivi huyu jamaa yuko wapi
Duh sikujua kama kafa aisee..Justine Kalikawe mwanamuziki wa Reggae kutoka Kagera, nilisikia kwamba alifariki dunia muda tu! Kama kumbukumbu zangu ziko sawa!
Nyimbo nyingine mbali na "panapofuka Moshi, zima moto chini" "wamachinga"
Pia aliimba "Maisha sio Ndoto" , "ningekuwa na Mabawa" etc
Dah sikujua mkuu mwimba Regge pendwaHuyu katangulia mkuu
Mpango yupo wapi ?Yupo wapi Dr.Shukuru kawambwa nakumbuka alikujaga kwenye mahafari yetu.miaka hiyo
Sent from my R7Plus using JamiiForums mobile app
Vp changamoto ya kupooza rim unaitatuaje?Tuko naye huku tunachambamikundu ya wazee wazungu.
Unamzungumzia yule miss Tanzania mwaka 2003 au mwingine kama ndo huyo nilisikia Yupo KenyaYukwapi Silvia Bahame
Ndo huyo. Yupo kimya hata kwenye mitandao haonekani kabisa.Unamzungumzia yule miss Tanzania mwaka 2003 au mwingine kama ndo huyo nilisikia Yupo Kenya
Sio kwamba sasa hivi hausikinna Mambo ya urembo tena nahisi ni administrative figureNdo huyo. Yupo kimya hata kwenye mitandao haonekani kabisa.
Anaishi AmericaYuko wapi CHARLES MAGARI, mwigizaji maarufu wa movie za kibongo
Alifariki mwaka juziJustine Kalikawa miaka ya 90 mpaka 2000s Alikuwa mwimbaji mzuri sana wa Regge na zilipendwa sana..
Hasa ile "panapofuka moshi" na "wamachinga"
Hivi huyu jamaa yuko wapi