Mada ya wanyama

Wanaita chunusi bila kujua hiyo ni kazi ya huyu mzee baba😂
 
kumbeee!!
ila wanasemaga pia ukitaka kujua kama uyo "chunusi" yupo ukitupa jiwe majini panafoka moshi
 
kumbeee!!
ila wanasemaga pia ukitaka kujua kama uyo "chunusi" yupo ukitupa jiwe majini panafoka moshi
Kama kuna uwepo wa mkunga hapo uliporusha jiwe, anakwaida ya kutanua mapezi yake na kutoa hewa kwa nguvu kuonesha amekasirika na ameingiliwa katika mambo yake. Kwa utowaji huo wa hewa pale juu panaonekana maji kuvibrate na si kufoka moshi.
Mara mia umvue huyu samaki kwa ndoano kuliko unajifanya mjanja kutaka kumkamata kwa nyavu au kwa mikono, itakula kwako bwashee.
 
dah, hatari sana
 
hakika!kwa wachaga nimeskia stori za chunusi sana wakiamini ni jini
Jamii nyingi wanajua hivyo lakini in a real sense mtu majini anakufa (drown) kwenye mabwawa na mito baada ya mtu kupigwa shoti na mkunga baada ya kuingia kwenye anga zake au baada ya kuzidiwa na nguvu ya maji, kuishiwa nguvu ya kukabiriana nayo na kuzamishwa na kumeza yale maji huku akiwa amebanwa na pumzi akitapatapa.
Jini likikutaka either limetumwa au lenyewe likitaka damu yako halina mbwembwe, mtashtukia tu mwenzenu amezama na haibuki tena mpaka baada ya siku kadhaa au msiupate tena mwili wake.
Mkuu Mshana Jr atasaidia kipengere hiki
 
sawa sawa
 
Wazungu ni hamnazo
 
Haha sasa si alikuwa anafanya majaribio kwa vitendo. Unamkumbuka yule aliejilengesha ili amezwe na nyoka sijui alikuwa anatafiti nini kwenye tumbo la nyoka nusura angekufa sema wenzake walimtoa japo alikuwa hoi.
Wazungu wengi wanataka kuexperience somethings that will shock the world. Wengine ndio hivyo wanaojaribu vitu ambavyo vinapelekea vifo vyao, wengine wakifanikiwa hizo experiences zinawafanya wawe matajiri gafra.
 
Hawachanganyi na kitu kingine? We mkuu umeshuhudia ikiua? Kawaida sumu ya kuweka kwenye mishale hutoka kwenye miti(mbegu), wadudu na baadhi ya vyura.
Pure nyongo ya mamba na kunguru
 
Dah umenikumbusha mbali sana huyu kiumbe
 
Pure nyongo ya mamba na kunguru
Mkuu mshana hii ishu ni mapokeo tu lakini hawa wanyama hawana sumu yoyote na nyongo zao ni kama zetu na kazi yake ni kusaidia ufyonzaji wa mafuta kutoka tumboni kwenda kwenye damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…