fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Wanaita chunusi bila kujua hiyo ni kazi ya huyu mzee baba😂Hili dude wabongo wanaliita chunusi,wanaamini kwenye maji kuna jini linalofyonza damu,kumbe ni huyo electric eel anakugonga shoti unakufa halafu tukikupata tunakukuta umepungukiwa damu sababu ya ile shoti,hapo wabongo ndio wanasema jini lilikunyonya damu[emoji16][emoji16][emoji16]