Mada ya wanyama

Sumu ya nyoka huitwa venom na siyo poison. Venom ni sumu ambayo ili ifanye kazi inatakiwa iingie kwenye mishipa ya damu wakati poison ufanyaje wake kazi huweza sababishwa na hata kuigusa tu au kuimeza.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwa kuongeza kazi kubwa ya venom Ni kusaidia mmeng'enyo na kuua lindo
Mfano nyoka mwenye venom akimdunga panya atamuacha aende zake akijua afiki mbali

Akitumia ulimi wake atam sense atampata tayari kafa na ile sumu imeshaanza kummeng'enya

Venom unaweza kunywa ila usijaribu Kama una vidonda vya tumbo
 
Hata mimi nilishawaza kama wewe mkuu
 
Venom unaweza kunywa ila usijaribu Kama una vidonda vya tumbo[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hii habari ya Yesu ni kwangu mpya. Naomba sources mkuu tafadhali
 
TEMBO anabeba mimba kwa zaidi ya miezi 24 akizaa anakaaa miaka mitatu ndo abebe tenaa


Ila Bungeni kuna MP alisema ndani ya miaka mitano wamezaliwa tembo 4500[emoji16]
[emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji38][emoji38][emoji38]
 

Aisee huyu cuckoo ni shetani kabisaaa
Huwa nikiwaangalia nashangaa sana yaani mpaka mtoto anapozaliwa tu bado hata hajafungua macho anahakikisha anabaki peke yake kwenye kichali
Yaani anadondosha mpaka yai lililobaki
 
Au sio
 
Mkuu wewe ni Ahmadia? Maana hili uliloeleza hapa ni itikadi ya Ahmadia ambayo ilianza mwishoni mwa 1800. Kabla ya hapo hakuna Mwislam au Myahudi au hata Mkristo aliyesadiki hili uliloandika hapa
 
Mkuu wewe ni Ahmadia? Maana hili uliloeleza hapa ni itikadi ya Ahmadia ambayo ilianza mwishoni mwa 1800. Kabla ya hapo hakuna Mwislam au Myahudi au hata Mkristo aliyesadiki hili uliloandika hapa


Iwe ni imani ya mtu yeyote yule ilmradi inaingia akilini na inao ushahidi thabiti basi ni imani sahihi ya kufuatwa.

Usahihi wa imani yenye ushahidi ndiyo jambo la kufuatwa na sio kufuata imani potofu kulingana na muda "uliopita" unaoujua wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…