Mada ya wanyama

Yaani wanyama 161 wamechangia mada hii! Hongera JF kuwa na idadi kubwa hivyo membazi wa JF.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827] ni 162
 
Hamna mkuu, ni uzushi kama uzushi mwingine. Tafiti za kisayansi zilifanyika na kuona kuwa ni hekaya tu.
Wamasai na wamang'ati wanatumia sana nyongo za mamba na kunguru kutengeneza sumu ya kwenye mishale..hili nina hakika nalo kwakuwa onetime mto wa mbu nilishiriki hili zoezi
 
Wamasai na wamang'ati wanatumia sana nyongo za mamba na kunguru kutengeneza sumu ya kwenye mishale..hili nina hakika nalo kwakuwa onetime mto wa mbu nilishiriki hili zoezi
Hawachanganyi na kitu kingine? We mkuu umeshuhudia ikiua? Kawaida sumu ya kuweka kwenye mishale hutoka kwenye miti(mbegu), wadudu na baadhi ya vyura.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]nimegundua JF tuna vichwa vimejaa maarifa ...ni namna tu ya kushare na wengine ama "kuyatumia kivingine"[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mkuu humu kuna chakula ya ubongo ya kutosha
 
Unapomwona nyoka, mwili wako unamwaga homoni za adrenaline.

Nyoka anaweza kunusa hizo homoni kisha akabaini kuna hatari.

Au pia inawezekana reaction yako ya kushtuka ikampa tension ya kujilinda.

Kifuatacho atakudunga mijino yake au atakimbia.
 
Autralia ku
Australia kuna wanyama wengi sana ambao hawapatikani kwenye mabara mengine sijui kwanini!
 
Sababu ilijitenga na maeneo mengine kwa miaka mingi. Ni kama ilivyo Madagascar. Madagascar kuna wanyama wa kipekee pekee sana.
Ahaa kumbe! Asante kwa kunipa jibu hili maana nilikuwa najiuliza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…