Mada ya wanyama

Mada ya wanyama

[emoji23][emoji16]
FB_IMG_1542271665105.jpg
 
Kuna ndege wanaitwa cuckoo sifa yao kubwa ni kuvamia viota vya ndege wengine, pengine hii sifa na wewe ndiyo unaijua. Wasumbufu, wakorofi n wana ubabe hivi.

Tabia nyingine ya cuckoo ni kutopenda kulea mayai yao na vifaranga vyao. Now logic itakufanya ujiulize kama hawalei ni nani wanalea? Jibu ni simple, ndege wengine hua wanalea mayai ya cuckoo.

You see cuckoos hutafuta kiota ambacho tayari kina mayai kisha cuckoo jike huenda kutaga hapo na kuyeya. Ndege mwenye kiota ataatamia mayai, atalisha vifaranga kisha siku ikifika atashangaa kuna kibaba kipo hapo hakielewi na amekilisha tangu kichanga, by that time katakua kanaweza kupaa so katajiondokea.

Now siyo kila ndege ni wajinga au siyo? Wengine wataangalia na kugundua hichi siyo kifaranga changu so ataanza kukatenga kwa kutokapa chakula ambapo cuckoos huteua genge la ndege kadhaa ambao humtembelea yule mama ndege aliyegoma kulisha kifaranga cha cuckoo na kumshushia kipigo.

Mostly baada ya hapo huyu kifaranga hulishwa vyema kabisa mpaka anakua na kuondoka zake.

Cuckoos,whydas,indigobirs Ni bonge la ma brood pirisites,
Kuna cuckoo mmoja anaitwa red chested cuckoo anapenda kutaga mayai kwenye viota vya Robin chats

Ndege mmoja mwenye milio mizuri sana
 
Kuna ndege anaitwa platypus, basically ni kama vile Mungu alikua na left overs kisha akaamua kutumia kuumba kiumbe kingine hicho kiumbe sasa ndiyo platypus.

Ana sura iliyofunikwa na mdomo kama wa bata wa kwenye katuni, mwili uliojaa manyoya, mikono na miguu yenye kucha kali. Now kutokana na muonekano wake obviously ni anachekesha. Pengine utataka hata kumshika.

One thing, in animal kingdom sometimes rangi ya kiumbe huashiria ana sumu kiasi gani. Mara nyingi rangi hiyo hua njano au njano angavu. Na platypus are covered in olive yellow. So yeah ukiachilia hizo kucha platypus ni venomous.

Haswa madume. You see during mating season madume hua yanapigana kugombea mademu na silaha hua ni hizo kucha ambazo zina sumu so kama unaangalia ugomvi wao wa kugombea demu unaweza shangaa mmoja ghafla anapoteza hamu ya ugomvi, anaparalaizi kisha anapoteza fahamu. Mshindi atamkimbilia demu mgombewa na kuanza kupiga mambo.

Na atatumia zile kucha kumzuia demu asikurupuke kukimbia gemu.

Anyway, platypus akikudunga sumu yake jiandae kwa maumivu makali ambayo hakuna painkiller yeyote inayoweza kuyatuliza so utatafuta sehemu ujikunyate mpaka maumivu yaishe. Good thing ni kwamba haijawahi kutokea kifo kutokana na sumu ya platypus.

Again anapatikana Australia. While utakua unaugulia maumivu just kumbuka kwamba wanasayansi wako chimbo ili kutumia sumu ya platypus katika kutibu kisukari, so that's a plus side.
 
Nguruwe ndo mnyama ambaye anaweza kuzaa watoto wengi zaidi ya chuchu zake kwa mfano akiwa na chuchu kumi anaweza kuzaa watoto adi kumi na nne ! Lkn inabid kila mtoto awe na chuchu yake maana wakifikisha siku 7 wale ambao wamekosa chuchu huwa wanadhohofika na kufa kabisa

Is it Nguruwe endapo akazaa alafu ukaacha watoto na mama yao pamoja kwa kipindi kirefu basi mama Nguruwe hata pata joto mpaka uwatoe watoto kwenye banda lake

Nguruwe jike endapo akipandwa na mtoto wake basi huzaa kabla ya siku zake au baada ivyo watoto wote huwa wanakufa

Nguruwe jike akipandwa na kaka yake au mdogo wake huwa anazaa vitoto vyenye ulemavu au maumbile ya ajabu kama kuwa na sehumu ya kiume na yakike pamoja au kuwa na kwato nyingi

Nguruwe jike akipandwa na dume zile mbegu ambazo azijafanikiwa kuingia kwenye mfumo wa uzazi basi Nguruwe jike uzitoa zote kupitia uke wake siku iyo iyo

Ukubwa wa mtoto wa Nguruwe pindi anapo zaliwa inategemeana na upana wa umbilical cord ivyo Basi kama umbilical cord ikiwa pana Basi mtoto atakuwa mkubwa na umbilical cord ikiwa nyembamba mtoto atakuwa mdogo
 
Kuna ndege anaitwa platypus, basically ni kama vile Mungu alikua na left overs kisha akaamua kutumia kuumba kiumbe kingine hicho kiumbe sasa ndiyo platypus.

Ana sura iliyofunikwa na mdomo kama wa bata wa kwenye katuni, mwili uliojaa manyoya, mikono na miguu yenye kucha kali. Now kutokana na muonekano wake obviously ni anachekesha. Pengine utataka hata kumshika.

One thing, in animal kingdom sometimes rangi ya kiumbe huashiria ana sumu kiasi gani. Mara nyingi rangi hiyo hua njano au njano angavu. Na platypus are covered in olive yellow. So yeah ukiachilia hizo kucha platypus ni venomous.

Haswa madume. You see durimg mating season madume hua yanapigana kugombea mademu na silaha hua ni hizo kucha ambazo zina sumu so kama unaangalia ugomvi wao wa kugombea demu unaweza shangaa mmoja ghafla anapoteza hamu ya ugomvi, anaparalaizi kisha anapoteza fahamu. Mshindi atamkimbilia demu mgombewa na kuanza kupiga mambo.

Na atatumia zile kucha kumzuia demu asikurupuke kukimbia gemu.

Anyway, platypus akikudunga sumu yake jiandae kwa maumivu makali ambayo hakuna painkiller yeyote inayoweza kuyatuliza so utatafuta sehemu ujikunyate mpaka maumivu yaishe. Good thing ni kwamba haijawahi kutokea kifo kutokana na sumu ya platypus.

Again anapatikana Australia.

Playtpus si ndio mammal pekee kwenye class mamalia anayetaga mayai mkuu?
 
Kuna binadamu wana tabia kama za huyu ndege...sasa sijui nani kaiga kwa mwenzake
BTW Castr hii mada umeitendea haki sana...nimejifunza na kuelimika mengi..big up sana[emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hizo ni random memories. Kuna vitu nitakua nimevisahau...
 
Sijawahi tafutia jibu hili swali, nilijiuliza tu halafu sikutafuta jibu.
Kule Kuna mpaka wale Komodo dragon,sema hawana venom Wana bakteria Fulani wakimng'ata buffalo achukui round!!

Pia Kuna mamalia Kama huyo platypus anayetaga na Kuna mamalia wengine hawana placenta sio viviporous wanakuza vijusi kwenye special porch mf kangaroo!!

Napia ziko species nyingi za nyoka wanaotoka familia tofauti na elapidae(cobras,mambas)

Wenye neurotoxins Kali na hawana antvenom

Shikamoo Australia!!

Ila vifo vinavyosababishwa nao Ni vichache mno ukilinganisha na vya king kobra wa Asia au black mamba wa africa
 
Siku zote najua Komodo wanapatikana Indonesia na maeneo mengine ya Asia pekee, sikujua kama wapo Australia.

Afrika na Asia lazima tuwe na death toll kubwa kutokana na umbali wa vituo vya afya, upatikanaji wa anti venom na gharama yake.

Kuna ndege anaitwa Cassowary, yupo Australia pia, picha yake ukimuona ni kacute kumbe kakiller.
 
Cassowary so ndio wanasemaga nyama yake hiwezi kuiva?

Nadhani Ni ndege mkubwa asiyeruka Kama mbuni au kiwi
 
inavyoonekana hata kula mpaka alazimike!
Huyu ndo mnyama anaesadikiwa kuwa mvivu kuliko wote duniani.Mnyama huyu hulala kwa muda wa masaa 18 kwa siku kwa kuning’inia kwenye matawi ya miti na akiwa anatembea ardhini anatumia muda wa dakika 1 kutembea umbali wa kati ya Sentimeta 15-30 ambao ni sawa na urefu wa rula moja.kitaalamu anaitwa lazy sloth.View attachment 1710371
 
Back
Top Bottom