fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Kama Aina gani ya wanyama?Sababu ilijitenga na maeneo mengine kwa miaka mingi. Ni kama ilivyo Madagascar. Madagascar kuna wanyama wa kipekee pekee sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Aina gani ya wanyama?Sababu ilijitenga na maeneo mengine kwa miaka mingi. Ni kama ilivyo Madagascar. Madagascar kuna wanyama wa kipekee pekee sana.
Mbwa ni rafiki wa kweli kwa binadamu.Hata usipokuwa na chakula ataendelea kuishi kwako ingawa chakula atajitafutia nje.Ila paka ni mtafuta fursa akikosa msosi ataondoka.
LemursKama Aina gani ya wanyama?
Yeah hawa wanapatikana Madascar tuLemurs
Unajua huyo jamaa tuko naye jamii moja! Wote ni primates. Nafikiri hata akili zitakuwa za kama primates wengine, sokwe, Orangutans nk. Labda ndiyo maana kalipewa uking!😄😄.Nikikaona haka kamnyama hua najua kanaitwa King Julian.
NB. Hivu madagascar kuna Penguins???
Hahaaa Huu utani sana, hata kama tuko kundi moja ila hapana.Unajua huyo jamaa tuko naye jamii moja! Wote ni primates. Nafikiri hata akili zitakuwa za kama primates wengine, sokwe, Orangutans nk. Labda ndiyo maana kalipewa uking!😄😄.
Hapa mada inaweza hama kwenda kwingine. Tunaenjoy mada ya wanyama na tabia zao hapa,Nyoka wa kwenye Biblia ni nyoka wa mafumbo (figurative snake) haina maana ya huyu nyoka mnyama anayegonga watu, kumbuka katika elimu za roho (maandiko matakatifu) lugha za aina hiyo ni nyingi sana na inatakiwa kuchunguza kabla ya kutoa tafsiri ya moja kwa moja (literal meanings).
Katika lugha ya kiroho Nyoka inawakilisha mtu au kiumbe yeyote mbaya, katika muktadha wa Adam na Hawa yule nyoka anayetajwa kumhadaa Hawa ni Mtu muovu na wala hakuwa nyoka--mnyama kwani haitatokea na haijatokea hata siku moja hadi kiyama nyoka- mnyama kumzidi akili binadamu.
162 na wewe.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827] ni 162
Wataalamu wanasema penguins hawaishi Madagascar Ila Kuna 17 species of penguins ambao wanapatikana sehemu nyingine duniani yenye mazingira ya joto kama ya Madagascar.Nikikaona haka kamnyama hua najua kanaitwa King Julian.
NB. Hivu madagascar kuna Penguins???
Haha Mungu kampa kila kiumbe jinsi ya kupata chakula chake. Huku kwetu tunamwita fukufukuNimemkumbuka na Antlion( Chungu simba). Larva wa huyu bosi huwa anachimba kashimo ardhini na yeye anajifukia pale katikati ya shimo. Kuta za shimo zinakuwa ziko kwenye angle fulani. Kwenye zile kuta anajaza mchanga. Sasa sisimizi au siafu ikijichanganya na kudumbukia mpe inashindwa kutoka. Ule mchanga kwenye ukuta unakuwa unaporomoka kila akijaribu kutoka. Basi hapo jamaa anatoka na kumtafuna kisha anarudishia mchanga na kusubiri tena windo.
View attachment 1713108View attachment 1713107
Tupe mishe za Mwita.Haha Mungu kampa kila kiumbe jinsi ya kupata chakula chake. Huku kwetu tuna mwita fukufuku
Tunamuita fukufukuTupe mishe za Mwita.
Hapa mada inaweza hama kwenda kwingine. Tunaenjoy mada ya wanyama na tabia zao hapa,
[emoji298] 600?Kuna samaki anaitwa electric eel, huku kwetu bongo tunamwita mkunga anapatikana katika mabwawa na mito mingi Africa na America ya kusini. Huyu samaki ana uwezo wa kuzalisha nguvu za umeme mpaka kufika Volts 600 kwaajili ya kuliua windo lake au kuwaweka adui zake mbali na yeye au kushambulia pale anapohisi kuna hatari.
Binafsi nishawavua sana hawa samaki nikiwa teenager katika makuzi ya kuvua vua samaki katika mabwawa lakini sikujua kama ana uwezo wa kukupiga shoti ambayo inaweza kukusababishia shock nakuwa drown hata katika kina kifupi cha maji. Kuna cases chache mpaka sasa za vifo vya binadamu vilivyosababishwa na huyu mjuba.
Yes mkuu. Ni noma huyo samaki[emoji298] 600?
Hili dude wabongo wanaliita chunusi,wanaamini kwenye maji kuna jini linalofyonza damu,kumbe ni huyo electric eel anakugonga shoti unakufa halafu tukikupata tunakukuta umepungukiwa damu sababu ya ile shoti,hapo wabongo ndio wanasema jini lilikunyonya damu[emoji16][emoji16][emoji16]Kuna samaki anaitwa electric eel, huku kwetu bongo tunamwita mkunga anapatikana katika mabwawa na mito mingi Africa na America ya kusini. Huyu samaki ana uwezo wa kuzalisha nguvu za umeme mpaka kufika Volts 600 kwaajili ya kuliua windo lake au kuwaweka adui zake mbali na yeye au kushambulia pale anapohisi kuna hatari.
Binafsi nishawavua sana hawa samaki nikiwa teenager katika makuzi ya kuvua vua samaki katika mabwawa lakini sikujua kama ana uwezo wa kukupiga shoti ambayo inaweza kukusababishia shock nakuwa drown hata katika kina kifupi cha maji. Kuna cases chache mpaka sasa za vifo vya binadamu vilivyosababishwa na huyu mjuba.