Mada ya wanyama

Mada ya wanyama

.
FB_IMG_16694434524831888.jpg
 
Mothercity safaris.com
Serengeti Park,Ngorongoro Crater na Tarangire Park...Lake Manyara
 
Attachments

  • Screenshot_20221020-051719_Opera.jpg
    Screenshot_20221020-051719_Opera.jpg
    239.8 KB · Views: 23
  • Screenshot_20221110-083400_Chrome.jpg
    Screenshot_20221110-083400_Chrome.jpg
    202.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20221031-151100_Chrome.jpg
    Screenshot_20221031-151100_Chrome.jpg
    148 KB · Views: 19
  • 20221025_092953.jpg
    20221025_092953.jpg
    1.2 MB · Views: 17
  • Screenshot_20221019-082511_Chrome.jpg
    Screenshot_20221019-082511_Chrome.jpg
    162.5 KB · Views: 24
Nchi yetu watu wengi hawana Elimu za Wanyama hii ilitokea Njiro,Arusha tembo mmoja alipita njia yake ya zamani ilikua makazi ya watu madereva boda boda wakawa wanamkaribia kwa kupiga picha nae tembo pana muda hakupenda zile ghasia aliua kijana mmoja kwa kumkimbiza tena wana mbio hao hatari...mmoja aliingia kwenye miti ndio ilikua pona yake...
 
Tembo anaenda 60kph binadam hawezi kumzidi speed
 
Ng'ombe wanne wa wakazi wa kijiji cha Kegonga Wilayani Tarime wamepigwa risasi na askari wa Hifadhi ya Serengeti kwa tuhuma za kuingia hifadhini,wananchi hao wameeleza kuwa askari hukamata ngo'mbe wao na kuwadai fedha na wasipotoa fedha ng'ombe hao hupigwa risasi ama kutaifishwa
20221205_100122.jpg
20221205_100119.jpg
20221205_100116.jpg
 
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na utalii, pamoja na vyombo vinavyojihusisha na wanyamapori na uhifadhi nchini, wameanza zoezi la kuwafukuza Tembo kutoka maeneo ya karibu na makazi ya wananchi na kuwaswaga kuelekea maeneo ya mbugani ili wananchi wawe salama.
20221205_102558.jpg
 
Back
Top Bottom