Kitomari xxiv
JF-Expert Member
- Sep 26, 2021
- 1,283
- 12,555
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi yetu watu wengi hawana Elimu za Wanyama hii ilitokea Njiro,Arusha tembo mmoja alipita njia yake ya zamani ilikua makazi ya watu madereva boda boda wakawa wanamkaribia kwa kupiga picha nae tembo pana muda hakupenda zile ghasia aliua kijana mmoja kwa kumkimbiza tena wana mbio hao hatari...mmoja aliingia kwenye miti ndio ilikua pona yake...
Tembo anaenda 60kph binadam hawezi kumzidi speedNchi yetu watu wengi hawana Elimu za Wanyama hii ilitokea Njiro,Arusha tembo mmoja alipita njia yake ya zamani ilikua makazi ya watu madereva boda boda wakawa wanamkaribia kwa kupiga picha nae tembo pana muda hakupenda zile ghasia aliua kijana mmoja kwa kumkimbiza tena wana mbio hao hatari...mmoja aliingia kwenye miti ndio ilikua pona yake...
Ok sawa Mkuu ahsante kwa kunikumbusha hili...Tembo anaenda 60kph binadam hawezi kumzidi speed