Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mimi nna ndevu halafu bado sijautwanga mkavu,dada yangu pia,binamu zangu wote
Na naamini kindevu hiki hakitoniletea bahati bali juhudi zangu na positive mindset...ingawa chenyewe kinakuwa kinanipa nguvu tu yani.
 
Naona umeganda kwenye huu uzi... Mwishowe utakula ban
Nilisha kuonyesha dawa ya kutokula ban...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hata hivyo bado wana mning'inio kwa ule mchakamchaka wa jana...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mimi nna ndevu halafu bado sijautwanga mkavu,dada yangu pia,binamu zangu wote
Na naamini kindevu hiki hakitoniletea bahati bali juhudi zangu na positive mindset...ingawa chenyewe kinakuwa kinanipa nguvu tu yani.
Wewe tayari ni asset japo pia sioni uhusiano wa ndevu na utajiri ama dimples na utajiri between you become what you think, your perception creates your reality
 

mshana jr, hongera kwa kuwa unaleta mada za kusisimua kuhusu dunia ya giza. Leo kwamba kuna akina mama wana laana kwa kuzaliwa na hicho ulichokiita kinyama njia ya haja kubwa, na kwamba siyo ugonjwa, imebidi niingie mitandaoni na vitabu vya tiba kuchimba zaidi. Haya ndiyo niliyoyapata kutoka THEHABARI, gazeti la mtandao, pamoja na hao niliowanukuu.

"JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI?!!

~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe

~Ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles

~Tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30_50

AINA ZA BAWASIRI

~Kuna Aina mbili za bawasiri

(A) BAWASIRI YA NDANI

~Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa
haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili

~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa

~Aina hii imegawanyika katika madaraja manne

(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahal pale panapohusika

(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyew ndani baada ya kujisaidia

(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe

(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

(B)BAWASIRI YA NNJE

~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo
THROMBOSED HEMORRHOIDS

CHANZO CHA TATIZO

~Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷

[https://s]KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
[https://s]KUHARISHA KWA MUDA MREFU
[https://s]TATIZO LA KUTOPATA CHOO
[https://s]MATATIZO YA UMRI
[https://s]KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
[https://s]UZITO KUPITA KIASI
[https://s]MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU

DALILI ZA BAWASIRI

[https://s]Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
[https://s]kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
[https://s]kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
[https://s]kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
[https://s]kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI

~Matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa na anion chip kubandika mahali penye tatizo na kuondoa tatizo Hilo

~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia

[https://s]KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZSZOKOBOLEWA
[https://s]KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku
[https://s]EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU

MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI

[https://s]kupata upungufu wa damu (anemia)
[https://s]Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
[https://s]hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
[https://s]kuathirika kisaikolojia
[https://s]kukosa moral ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali."

MKUU mshana jrni vyema ukarudia utafiti wako, hasa wa kuhusisha nguvu za giza na masuala ambayo yanaweza kujibiwa kwa tafiti za kisayansi. Hata waja wazito walikatazwa kula mayai, na wengine hadi leo wanaamini hivyo.

Hemorrhoids

 
Wewe tayari ni asset japo pia sioni uhusiano wa ndevu na utajiri ama dimples na utajiri between you become what you think, your perception creates your reality
Kama yako ilivyocreate reality ya hivyo vimkia!!!
Hebu endelea na uchunguzi utuletee jibu bwana kana na wanaume wanavyo, maana unatufundisha tabia mbayaya kuanza kuchungulia[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Antie umenichekesha!! Hilo ni tatizo la kiafya bwana,ungekuwa nalo nadhani ungeshajua.
Kwani mleta mada amezungumzia hemorrhoids? Huyu jamaa ameleta kitu kingine kabisa kwa mtazamo wangu, hemorrhoids zipo kwa jinsi zote, just like genital warts na hazileti mikosi coz it's a disease.
 
Kwani mleta mada amezungumzia hemorrhoids? Huyu jamaa ameleta kitu kingine kabisa kwa mtazamo wangu, hemorrhoids zipo kwa jinsi zote, just like genital warts na hazileti mikosi coz it's a disease.
Baadae ndio alifafanua kuwa ni kimkia.
Kwahiyo hiyo mikia inawatokea wanawake tu?
 
Kwa wanaume sijui kwakuwa sijawahi kufanya utafiti[emoji85] [emoji85]
Nimecheka kwa sauti kubwa hadi watu wamenishangaa![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…