Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Ndio maana wakati mwingine msichana akikutaa sio kwamba hakupendi binadam wanapitia mengi sana ukikataliwa mpende aliyekukataa hasa kama hajatumia lugha mbaya kukataa kuna rafiki mmoja binti mdogo kabisa ana hiyo changamoto kwa kweli inamuumiza kama kuna mtu ana dawa yoyote naomba ashee hapa
 
Hebu mwenye kinyama atujfi-ishe tuone kamkia ama vepeeee

Dr
 
Wanaume pia wanacho au ni wanawake tu?
 
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Niliwahi kusikia kama watu hawa hawana bahati iwe ya mahusiano ama uzazi.........mm napingana na hili siamini

Sent from my HUAWEI Y550-L01 using JamiiForums mobile app
 
Mshana jr, hiki kinyama unachozungumzia ni kile tunaita kitaalamu Hemorhoids au Piles au kwa Kiswahili Bawasiri?
 
Hayo ni maumbile tu kama kale kakidole ka sita au kinundu nyuma ya sikio au kisigino kirefu.
Unamaanin baadhi ya makabila Asia hufananisha kinyama hicho na pesa?
Bibie naonq upo vzr kwny ufahamu wa hivi vinyama
 
Hili nalo swali zuri sana...
Labda niulize swali,maumbile ya wanaume yanafanana?
msichokielewa ni kuwa kile cha mwanamme hutengezwa wakati wa tohara..kuna wanaume wengine,hasa wanaotahiriwa mahospitalini hawana kile kinyama manake govi linakatwa lote ila kwa baadhi ya makabila ya afrika wanapowatahiri wanaume wao lile govi halikatwi likaanguka...kuna kale kakipengee kanawachwa kakining'inia upande wa chini na hupungua urefu kadri unavyozidi kuuguza kile kidonda..manufaa yake ni kuongeza hamu katika mambo yale ya watu wazima na pia huongezea raha kwa mwanamke kwani ule msuguo huongezeka(vaginal friction)hivyo kupelekea hata "kunyaza"..
 
Back
Top Bottom