Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Nishawahi kukutana nacho. Sio bawasir ni kinyama flani hivi kinakua kimechongoka flani hivi. Mbona kiko poa tu unaweza kukitumia pia kuamshia hisia kama unavyofanyaga kile cha ule mlango mwingine. Ila mshana jr acha upekuzi ulifata nini huko mpaka ukakiona?

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
We ulifuata nini hadi ukakiona?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Mimi bhana huwa sielewi hadi nione picha[emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Nishawahi kukutana nacho. Sio bawasir ni kinyama flani hivi kinakua kimechongoka flani hivi. Mbona kiko poa tu unaweza kukitumia pia kuamshia hisia kama unavyofanyaga kile cha ule mlango mwingine. Ila mshana jr acha upekuzi ulifata nini huko mpaka ukakiona?

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
mshana Jr njoo utueleze ulichukua unatafuta hadi ukakutana na hicho kinyama....[emoji13] [emoji13]
 
Hivi mtume si alikataza hata kuona huo mlango wa nyuma kwa macho? Suala la kudumu kwenye mahusiano linajumuisha mambo mengi ikiwamo hata namna unavyochagua mwenzi.
Tatizo ni hofu kwa wanaume.. Maana wanaona ni ajabu sana mtu kuwa na kamkia
 
Nishawahi kukutana nacho. Sio bawasir ni kinyama flani hivi kinakua kimechongoka flani hivi. Mbona kiko poa tu unaweza kukitumia pia kuamshia hisia kama unavyofanyaga kile cha ule mlango mwingine. Ila mshana jr acha upekuzi ulifata nini huko mpaka ukakiona?

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mimi ni tabibu

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
mshana Jr njoo utueleze ulichukua unatafuta hadi ukakutana na hicho kinyama....[emoji13] [emoji13]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mtume si alikataza hata kuona huo mlango wa nyuma kwa macho? Suala la kudumu kwenye mahusiano linajumuisha mambo mengi ikiwamo hata namna unavyochagua mwenzi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Achana na superstition, damu ya YESU yatosha hakuna cha nuksi wala balaa
 
Back
Top Bottom