...
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana!
Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano ...ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu....na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu
NB: hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
mshana jr, hongera kwa kuwa unaleta mada za kusisimua kuhusu dunia ya giza. Leo kwamba kuna akina mama wana laana kwa kuzaliwa na hicho ulichokiita
kinyama njia ya haja kubwa, na kwamba siyo ugonjwa, imebidi niingie mitandaoni na vitabu vya tiba kuchimba zaidi. Haya ndiyo niliyoyapata kutoka THEHABARI, gazeti la mtandao, pamoja na hao niliowanukuu.
"JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI?!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
~Ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles
~Tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30_50
AINA ZA BAWASIRI
~Kuna Aina mbili za bawasiri
(A) BAWASIRI YA NDANI
~Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa
haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
~Aina hii imegawanyika katika madaraja manne
(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahal pale panapohusika
(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyew ndani baada ya kujisaidia
(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi
(B)BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo
THROMBOSED HEMORRHOIDS
CHANZO CHA TATIZO
~Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
[
https://s]KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
[
https://s]KUHARISHA KWA MUDA MREFU
[
https://s]TATIZO LA KUTOPATA CHOO
[
https://s]MATATIZO YA UMRI
[
https://s]KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
[
https://s]UZITO KUPITA KIASI
[
https://s]MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
DALILI ZA BAWASIRI
[
https://s]Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
[
https://s]kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
[
https://s]kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
[
https://s]kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
[
https://s]kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI
~Matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa na anion chip kubandika mahali penye tatizo na kuondoa tatizo Hilo
~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia
[
https://s]KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZSZOKOBOLEWA
[
https://s]KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku
[
https://s]EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU
MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
[
https://s]kupata upungufu wa damu (anemia)
[
https://s]Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
[
https://s]hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
[
https://s]kuathirika kisaikolojia
[
https://s]kukosa moral ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali."
MKUU
mshana jrni vyema ukarudia utafiti wako, hasa wa kuhusisha nguvu za giza na masuala ambayo yanaweza kujibiwa kwa tafiti za kisayansi. Hata waja wazito walikatazwa kula mayai, na wengine hadi leo wanaamini hivyo.
Kwa uzoefu nilioupata katika pitapita.....(usiniulize wapi)
Nilijifunza aina tatu ya vitu visivyo vya kawaida ambavyo hitokea/huwepo kwenye njia ya haja kubwa.
1: Bawasir, hii hutokea kwa ke na me kwenye njia ya haja kubwa na hutokea kama sehem ya ndani ya kinyeo inataka kutoka nje. Na nimeshuhudia ikitibiwa kwa kufanyiwa upasuaji wa kawaida.
....
3: Kimkia ambacho anakizungumzia mleta mada ni, kina muonekano kama kinyama chembene kilicho ishilizia kwa umbo la mchongoko. Kina muonekano laini sana kama kingozi kilicho tokezea kutoka ndani ya sehem ya haja kubwa, ingawa niliwahi kupenkenyua sehem na nikaona kimeungana na sehem ya mwisho wa mlango wa kinyeo. Hiki kinyama kimekaa kama salio ama mabaki ya haja kubwa kana kwamba hapaja safishwa sawaia.