Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Si kweli!
 
Inasemekana kila binadamu ana mkia japo mingi imefifia kutokana na maumbile, hao wanawake nadhani mikia yao imefanikiwa kuchomoza kiduchu
 
Mshana nimefungua fasta nikahisi una tiba ya hicho kitu kumbe wanakuwa na mkosi!! Basi sawa
 
Kama yako ilivyocreate reality ya hivyo vimkia!!!
Hebu endelea na uchunguzi utuletee jibu bwana kana na wanaume wanavyo, maana unatufundisha tabia mbayaya kuanza kuchungulia[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji87] [emoji85] [emoji85]
 
Inasemekana kila binadamu ana mkia japo mingi imefifia kutokana na maumbile, hao wanawake nadhani mikia yao imefanikiwa kuchomoza kiduchu
Hakika hii niliwahi kusoma bandiko la kitabibu kwenye website fulani.Yani kingdom Animalia wote wana mikia.Watu hawajui hili.
 
Hizo ni imani, na usikute mshana jr kakutana na wateja wenye matatizo hayo...mi binafsi sijawahi sikia hizo hata hiyo bawaziri sijawahi ona mwenye tatizo ilo
Itakuwa, mie bawasiri nishawasikia kama wa4 hivi. Mmoja kalikuwa katoto kadooogo kabisa.
 
Hakika hii niliwahi kusoma bandiko la kitabibu kwenye website fulani.Yani kingdom Animalia wote wana mikia.Watu hawajui hili.
Nadhani ndo maana hata mleta mada anakubali kuwa huu si ugonjwa bali ni asili, you just have to live it kama umebahatika kuwa na ka-mkia sema taabu itakuwa kama ukipata mwenza asiye muelewa ndo utasoma namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…