Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli!Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Best nimeona unahofu kweli kweli na vinyama unaogopa kutokuolewa niniHawa wagangawaongo kweli.
Bila mtongozoAaaah!! Best nimekustukia!!
Alafu si unajua mabest friend huwa wanajikuta tu!!
Not hemorrhoids,Hemorrhoids
Mi thijathema hivyo best.Bila mtongozo
wakati wa jando tunaambiwa kinasaidia kumkuna mwanamke wakati wa tendo..kwa maneno mengine kinasaidia kumridhisha mwanamke kisawasawa....[emoji15] sasa kinaachwa cha nn
We unacho[emoji5]wakati wa jando tunaambiwa kinasaidia kumkuna mwanamke wakati wa tendo..kwa maneno mengine kinasaidia kumridhisha mwanamke kisawasawa....
Hizo ni imani, na usikute mshana jr kakutana na wateja wenye matatizo hayo...mi binafsi sijawahi sikia hizo hata hiyo bawaziri sijawahi ona mwenye tatizo iloHapana best, mshana jr huwa mzushi tu bwana na imani zake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji87] [emoji85] [emoji85]Kama yako ilivyocreate reality ya hivyo vimkia!!!
Hebu endelea na uchunguzi utuletee jibu bwana kana na wanaume wanavyo, maana unatufundisha tabia mbayaya kuanza kuchungulia[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hakika hii niliwahi kusoma bandiko la kitabibu kwenye website fulani.Yani kingdom Animalia wote wana mikia.Watu hawajui hili.Inasemekana kila binadamu ana mkia japo mingi imefifia kutokana na maumbile, hao wanawake nadhani mikia yao imefanikiwa kuchomoza kiduchu
Haongelei bawasiri.ugonjwa huo kitaalam ni HEAMORROID.AU BAWASILI
Itakuwa, mie bawasiri nishawasikia kama wa4 hivi. Mmoja kalikuwa katoto kadooogo kabisa.Hizo ni imani, na usikute mshana jr kakutana na wateja wenye matatizo hayo...mi binafsi sijawahi sikia hizo hata hiyo bawaziri sijawahi ona mwenye tatizo ilo
Best jichunguze vizuri na hicho asemacho mshana[emoji1] [emoji1]Itakuwa, mie bawasiri nishawasikia kama wa4 hivi. Mmoja kalikuwa katoto kadooogo kabisa.
Nadhani ndo maana hata mleta mada anakubali kuwa huu si ugonjwa bali ni asili, you just have to live it kama umebahatika kuwa na ka-mkia sema taabu itakuwa kama ukipata mwenza asiye muelewa ndo utasoma nambaHakika hii niliwahi kusoma bandiko la kitabibu kwenye website fulani.Yani kingdom Animalia wote wana mikia.Watu hawajui hili.