Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa kudukua
huwezi kujua bhana duuuh
mnaonekana mnachunguzaaaa, mbona sisi hatuchunguzi zile manii zenu kama ziko tatu au mbili kawaida?

nacheka tu mwenyewe hapa

teh teh
 
huwezi kujua bhana duuuh
mnaonekana mnachunguzaaaa, mbona sisi hatuchunguzi zile manii zenu kama ziko tatu au mbili kawaida?

nacheka tu mwenyewe hapa

teh teh
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa braza Mshana hicho kinyama ntakionaje!!?, maana hapa nawaza tu, ndio nachunguza uwepo wa kinyama mara paaa!!, nmeshitukiwa. Sitaonekana mtumia ndogo kweli!!?

Embu nipe mbinu hapa..
 
Sasa braza Mshana hicho kinyama ntakionaje!!?, maana hapa nawaza tu, ndio nachunguza uwepo wa kinyama mara paaa!!, nmeshitukiwa. Sitaonekana mtumia ndogo kweli!!?

Embu nipe mbinu hapa..
Kuwa mwerevu loh
 
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
wewe mushana hata wewe una mkiya hrafu unaleta ufukunyuku hapa,weye una mkiya au hauna tuanziye hapo.
 
Back
Top Bottom