Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Ok... Ngoja na mimi nitoe ushuhuda wangu!
Hiki kitu mimi nilikuaga nacho but sikuwa naelewa kitu gani! (Afu nilikuaga napenda kukichezea mwenyewe maana ni kilaini hv)
Sasa mwaka jana nilipita kwenye page ya Usipojipanga nitakupanga (Instagram) Nikamkuta mtu anakitolea ufafanuzi kama wa mshana jr

I was surprised ikabidi nimpigie mama kumuuliza hii kitu ni kweli??

Mama akaniambia Ndio tena kinaitwa "Kikanga!"

Ikabidi awasiliane na mamangu mdogo yupo Kigamboni ndo akaniambia nenda kwa mamaako mdogo kuna mbibi anamjua akakukate!

Nikaenda nikakatwa na wembe kisha akanipaka majani fulani hv yanawasha kiasi!

Kuhusu mikosi inawezekana maana daah nilikuwa nabwaga kila siku (teheteh)

So guys msibishe hii kitu ipo na sio kwamba ni ushirikina maana mm sikwenda kwa mganga
Samahani mkuu nipatie msaada wa huyo aliyekutibu,maana kuna ndugu yangu anacho,tena wa kike,anapata shida.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Imebidi nikajichungulie aisee
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
 
Samahani mkuu nipatie msaada wa huyo aliyekutibu,maana kuna ndugu yangu anacho,tena wa kike,anapata shida.

Post sent using JamiiForums mobile app
Mwambie aende Ungindoni kule karibia na kibada, then afike msikitini aulizie kwa mzee Yusuphu(hatopata shida kupata maana ni maarufu sana), mkewe ndo anafanya shuhuli hiyo!
 
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Ni sawa yawezekana kikawepo tangu unazaliwa lakini ni rarely to happen mostly huota na kukua. Huzalisha homa kali na kuuma. Utachoma sindano zote hakikomi maumivu.
Huweza kuota kwa jinsia zote hata wanaume.
Mwanaume aliyeota hiki kinyama anasadikika pia kudhuru watoto hata kufa. Mwanamke huishia kwenye misukosuko ya mahysiano na kuua watoto ama kuwadhuru.
Kitaalamu ukweli wa haya si wazi sana ila lazima tusiubeze maana kwa sasa hadi hospitali tiba imekuwepo juu yake.
Ktk dawa za asili huwa mengine yanaota ndani tumboni ambayo hata hospital ni ngumu kuyatoa but kuna dawa za asili hutumika kunywa ili kuyaondoa haya ya ndani japo dawa hizo ni chungu kuliko hata kulolokwini.
Ndiyo hivyo ila hutibu. Shukrani kwa mleta mada.
Wanawake wengi ni wahangwa ktk hili wengine kila akibeba mimba lazima na lenyewe liote ili limtese mwanaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kuna mdada anako hako kamkia chini kidogo ya kiuno karibia na ule mfereji wa suez/panama.matatizo uliyoyaelezea ya kukosa furaha na nuksi yanalandana kabisa na situasheni aliyokuwa nayo yule dada,mie mwenyewe nlitemana naye ndani ya muda mfupi japo alikuwa mzuri sana
Muunganishe nami apate tiba ya swanga awe huru hata hospital siku hizi wanakata vizuri. Bibi yangu ana utaalamu wa kuvitambua hata vilivyoota ndani kwa kumuuangalia mtu nje tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kuna mdada anako hako kamkia chini kidogo ya kiuno karibia na ule mfereji wa suez/panama.matatizo uliyoyaelezea ya kukosa furaha na nuksi yanalandana kabisa na situasheni aliyokuwa nayo yule dada,mie mwenyewe nlitemana naye ndani ya muda mfupi japo alikuwa mzuri sana
We Ni daktari au alikutumia picha?
 
Back
Top Bottom