Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Braza embu weka picha ili twende sawa pamoja.
 
Kuna mwanamke sasa ni mara ya tutu klla akijifungua mtoto anafariki . Nikawaza huenda damu ya mume na yake haziendani , sasa umenitonya nitafanya utafiti , kanyama kapo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawahi kuwa na mahusiano ya mapenzi na mdada ambae anakimkia. Mwanzo nilikuwa namshangaa kwa sababu sikuzoea kuona maumbile ya namna hiyo. Lakini baadae nilimzoea. Huyu dada alikuwa mtoto wa kihabeshi toka Ethiopia. Na tulifanikiwa kupata mtoto na yupo kakua. Niliachana na huyu mdada kwa sababu ya wivu mkubwa aliokuwa nao. Hakutaka niongee au kufahamiana na wadada wengine wowote wale. Na kwakua tuliishi nae Ulaya aliwapiga mkwara mademu wa kizungu. Ungomvi kila siku, basi tukaachana kinamna. Kwa kifupi wanazaa na watoto wanakua.
 
Ukimwi upo lakini si kila mtu anaugua


Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…