Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

bawasiri ni ugonjwa unaoweza mpata mwaname au mwanamkee wa umri wowote. ila mostly ni mama wajawawazito wazee na wenye shida ya constipation.
kuna ana mbili za bawasiri.
ya ndani na ya njee
bawasiri ni kitendo cha mishipa ya njina ya haja kubwa kuvimba kupelekea kuchomoza, naukuleta maumvu makali endapo mtu atapata choo kigumu
bawasiri haitibiki wa dawa adi operation. ila unashaurwa kula vyakula vya kulainisha choo kuepusha maumivu makal wakati wa kujisaidiaa
 
Nazungumzia kitu tofauti kabisa na bawasiri, ni kinyama kidogo kisicho na maumivu yoyote

Jr[emoji769]
 
Hata mimi nimewahi kuvisikia. Wahenga wanaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba, mwanamkea aliyenacho kinyama hicho hata akizaa watoto wanakufa. Tiba yake huwa ni kukikata hicho kinyama na tatizo na mikosi inakwisha.
Daah hii comment imenifanya nikumbuke mengi sana aisee huu uzi ni tough

Nilikuwa na rafiki yangu lutenant hapo 834kj makutupola dodoma,alikuwa na mke wake wa kimburu(iraq) alikuwa anajifungua watoto wazuri sana lakini kwa operation.mtoto wa kwanza alikaa wiki mbili akafariki mtoto wa pili alikaa miezi mitatu akafariki na mimba ya tatu alijifungua mapacha nao pia walifariki kwa vipindi tofauti mmoja alifariki siku kajifungua na mwingine alifarki baada ya miezi sita.

Siku rafiki yangu ananiuliza shida itkuwa nini hatukupata ufumbuzi wowote kwa muda mrefu,lakini kama ilivyo maneno ya watu wakawa wanasema huyu mwanamke kawekewa maagano ya kichawi,wengine wnasema mama mkwe ndyo anauwa watoto,wengine wanasema huyu dada mchawi.kimsingi ilituchukua muda sana kugundua shida nini.

Ni stori ndefu sana siwezi andika yote,alitokewa na uvimbe njia ya aja kubwa dizaini kma bawasiri lakini si bawasiri ule uvimbe ulipelekea kile kimkia kipate nafasi ya kujitokeza yani kilionekana kirefu tofauti na hapo awali lakini hakikuwa sehemu ya uvimbe.alitibiwa ule uvimbe na kile kimkia kilikatwa hospital ya general mkoan dodoma.
Mpaka hivi sasa ninapo andika yule dada anawatoto wa tatu na toka siku hiyo hakuwahi kusumbuliwa na matatizo ya uzazi wala kupotea kwa bridi.
Nachoshidwa kuelewa mshana haya mambo uwaga unajifunza kupitia kitabu gani tushirikise basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]

Jr[emoji769]
 
Mshana acha imani za kijinga hicho kinyama kinatibiwa hospital na kinaondoka au pia kwa tiba ya miti shamba kila jambo ukitaka kulichambua kiimani unakosea na kupotosha
 
Mshana acha imani za kijinga hicho kinyama kinatibiwa hospital na kinaondoka au pia kwa tiba ya miti shamba kila jambo ukitaka kulichambua kiimani unakosea na kupotosha
Kama hujaelewa muktadha wa kitu, rudia kusoma kwa makini, kisha uliza ama fuatilia michango ya wengine utaelimika na mengi kuliko kujifungia kwenye kabrasha ya ujuaji

Jr[emoji769]
 
Kuna ukweli 89% niliyekuwa naye alikuwa nacho alikuwa na nyota ya pesa,ila alikuwa ameachana na wanaume kadhaa baadaye hata na mimi mwenyewe tukaachana,niliyenaye Sasa hivi naye anacho na kazalishwa na wanaume watatu nje ya ndoa nikibahatika kutia mimba Mimi nitakuwa mzazi mwenziwe wa nne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongera kwa moyo wa chuma cha pua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…