Hahaha hahaha hahaha
Haha haaMi mbona ninacho mkuu kwa sisi wanaume itakuwa ni bahati
Hapana
WalaaaaMmh haha .... hapa umegeuka mtu chake ... nitampiga ban aise ...kesha anza kuniharibia sakayo wangu ....
Yaani wani piga sound na utuuzima wote huu !!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechoka kuchezewa akili
Nisingeweza kulaala nalo kabisaaa...Hahaha haya bwana .... umefanya vyema lakini ... kama kweli ya moyoni yameshakutoka naomba uni text
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahahaHahah wajua tunajaza comment hapa ..though tunauza gazeti .... ni pm please
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku mwema mkuuGeeez " ..... naanzaje kukufanya bashite sasa " jeuri hiyo nitaitoa wapi ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Si nimekununia auMhh haunitendei haki .... tchaa !!!!, kwa hiyo ndio umegoma kabisa !? Basi itakuwa hauja nisamehe .... kumbe wanichukia ....
Nalia mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
AkuuuuUsinune mtoto mzuri ... kesho nitakuletea zawadi .. Naomba uje kule ... ili nikuimbie lala by
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikulagi vya watu
Watu wanajitapa kula na kuliwa tiGo lakini hawafahamu madhara yake.
Haha -- hivyo ni vya kwako ".that's why nikavinunua kwaajili Yako ....Sikulagi vya watu
bawasiri ni ugonjwa unaoweza mpata mwaname au mwanamkee wa umri wowote. ila mostly ni mama wajawawazito wazee na wenye shida ya constipation.
kuna ana mbili za bawasiri.
ya ndani na ya njee
bawasiri ni kitendo cha mishipa ya njina ya haja kubwa kuvimba kupelekea kuchomoza, naukuleta maumvu makali endapo mtu atapata choo kigumu
bawasiri haitibiki wa dawa adi operation. ila unashaurwa kula vyakula vya kulainisha choo kuepusha maumivu makal wakati wa kujisaidiaa
Duu[emoji30][emoji30][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144]Kuna ukweli 89% niliyekuwa naye alikuwa nacho alikuwa na nyota ya pesa,ila alikuwa ameachana na wanaume kadhaa baadaye hata na mimi mwenyewe tukaachana,niliyenaye Sasa hivi naye anacho na kazalishwa na wanaume watatu nje ya ndoa nikibahatika kutia mimba Mimi nitakuwa mzazi mwenziwe wa nne
Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe bure kuna mengi hana ufahamu nayoUna shule haba tu ila hongera uemjitahid, bawasili hutibika kwa dawa pia.
Sent using Jamii Forums mobile app