Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mkuu....
Anayo isemea mshana, sio hii kama nimemuelewa vizuri.
Alicho kisemea mshana ni kinyama kidogo. Yaani nikinyama ambacho hakina muundo kama uvimbe na kinamuonekano kama haja ilio salia baada ya kujisaidia
Si ndio hiyo bawasiri jamani au?
 
Mkuu uliua unatafuta makinikia ndo ukakutana nacho nn
 
Sasa kumbe wewe unaongelea nini? Mimi mwenyewe nilijua ndio hiyo.
Ni kinyama kiko kiko njia ya haja kubwa kuelekea ukeni au mwisho wa mfereji wa matako kuingia njia ya haja kubwa....ni kinyama kidogo kama kimkia hakiwashi wala hakiumi
 
Hujui tuu ulivyo ntisha na vimikia, mtu unaweza uwe nacho na usijue eti... Ndo maana nimejikuta naenda kuhakikisha
Uhakiki wa mkia.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hatari sana aiseeee....
 
Kina urefu wa size gani mkuu
 
Kama vipi mkuu@Mshana jr Kwa ruhusa yako hii mada tuihamishie kule JLW ili tuone picha wengine matomaso..🙂
 
Kwahiyo sio hicho anachoongelea mshana?
Yeye anaongelea nini sasa? Hebu nieleweshe tafadhali.
Kwa uzoefu nilioupata katika pitapita.....(usiniulize wapi)
Nilijifunza aina tatu ya vitu visivyo vya kawaida ambavyo hitokea/huwepo kwenye njia ya haja kubwa.

1: Bawasir, hii hutokea kwa ke na me kwenye njia ya haja kubwa na hutokea kama sehem ya ndani ya kinyeo inataka kutoka nje. Na nimeshuhudia ikitibiwa kwa kufanyiwa upasuaji wa kawaida.

2: Warts, hivi ni vinyama vidogo ambavyo vinamuonekano wa kuchongoka. Hivi hiota hasa kwenye sura, mikononi, miguuni, pembeni ya haja kubwa na pembeni ya uke. Hii inasemekana ikiwa pimbeni ya uke na ukajifungua mtoto kisha kikamgusa, huyo mtoto lazima akufe. Warts najua na nimeshuhudia ikitibiwa kwa kupakaa utomvu wa mti flani hata huisha kabisa.

3: Kimkia ambacho anakizungumzia mleta mada ni, kina muonekano kama kinyama chembene kilicho ishilizia kwa umbo la mchongoko. Kina muonekano laini sana kama kingozi kilicho tokezea kutoka ndani ya sehem ya haja kubwa, ingawa niliwahi kupenkenyua sehem na nikaona kimeungana na sehem ya mwisho wa mlango wa kinyeo. Hiki kinyama kimekaa kama salio ama mabaki ya haja kubwa kana kwamba hapaja safishwa sawaia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…