Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Unacho ongelea ni sahihi na ndicho alichomaanisha yeye.Ila too bad mshana ni very negative,usipimwangalia sometimes atakulisha vitu vya kiganga kabisa.Bawasiri ina mitazamo miwili.Yeye anatazama kiganga zaidi na kiupotofu.Ni sawa kipindi kile mtu akiugua UKIMWI....anapelekwa kwa mganga.BAWASIRI INATIBIKA.HAIUI MTOTO WALA KUVUNJA NDOA...HAYA MAFUNDISHO POTOFU.Msiogope jamani 80% of the total population wanaugua bawasiri katika stage mbali mbali za maisha.Usipopata ujanana hata uzeen ukibahatika waweza pata.
Mmh hapo umenihukumu vibaya naomba usome tena kwa makini nilichoandika utaelewa
 
Ngoja nitafute mmasai nithibitishe kama wewe ulivyothibitisha kimkia[emoji85] [emoji85]
[emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu...
Ukweli sijui kama huwatokea na wanaume sababu sijawahi kumkagua mwanaume.
Na kuhusu chanzo ama hutokana na nini, hili sijawahi kujua pia
Hahahaaa!!! Hili swali mbona mnalikimbia?
 
We hujui hipsi na tako ni dili sasa hivi, we acha tukaongeze maana mmezidi kutunyanyapaa.
Ebu ukisha kuongeza kwa huyo tapeli, ukuje nikutathmini tena....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hakuna kitu kama hicho,kwanza hayo ni mateso anapata,ukiwa mzazi utayaona haya
Yaani atahiriwe mwanaume ila matatizo ya uzazi niyapate mimi!!! Au hicho kinyama kinachobakia kwenye uume kina madhara kwa wananwake?
 
Hivi vinyama nina bahati navyo.. Havina shida kabisa tena unawatumia pasipo na shaka na wengi walio navyo zile sehemu zinakua zimetuna sio mparabati..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usikubali kuwa Fungu la kukosa,hata kama umepita kwa waganga 100 umeambiwa una mkosi,hata kama una kinyama au vinyama ...tafuta tiba sahihi,kula mlo sahihi...waza mawazo sahihi.
Naona unaharibu biashara ya mleta uzi hapa.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Maana hachelewi kusema dawa anayo kwa anae hitaji tiba...[emoji12] [emoji12]
 
Hayo ni maumbile tu kama kale kakidole ka sita au kinundu nyuma ya sikio au kisigino kirefu.
Unamaanin baadhi ya makabila Asia hufananisha kinyama hicho na pesa?
Sawa mkuu, nazidi kupata darsa mujarab kabisa.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Naona unaharibu biashara ya mleta uzi hapa.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Maana hachelewi kusema dawa anayo kwa anae hitaji tiba...[emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom