muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Hakuna kitu kama hicho,kwanza hayo ni mateso anapata,ukiwa mzazi utayaona hayaNgoja nitafute mmasai nithibitishe kama wewe ulivyothibitisha kimkia[emoji85] [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hicho,kwanza hayo ni mateso anapata,ukiwa mzazi utayaona hayaNgoja nitafute mmasai nithibitishe kama wewe ulivyothibitisha kimkia[emoji85] [emoji85]
kinamtesa mwanamke,Ok hicho kimkia kweli kina madhara kama anayosema mshana?
Hilo swali wanaume wa humu ngumu kulijibu maana they are always perfect ujue!!!Kama ni vimkia hivyo haviwapati wanaume???
Mmh hapo umenihukumu vibaya naomba usome tena kwa makini nilichoandika utaelewaUnacho ongelea ni sahihi na ndicho alichomaanisha yeye.Ila too bad mshana ni very negative,usipimwangalia sometimes atakulisha vitu vya kiganga kabisa.Bawasiri ina mitazamo miwili.Yeye anatazama kiganga zaidi na kiupotofu.Ni sawa kipindi kile mtu akiugua UKIMWI....anapelekwa kwa mganga.BAWASIRI INATIBIKA.HAIUI MTOTO WALA KUVUNJA NDOA...HAYA MAFUNDISHO POTOFU.Msiogope jamani 80% of the total population wanaugua bawasiri katika stage mbali mbali za maisha.Usipopata ujanana hata uzeen ukibahatika waweza pata.
Sitaki watoto bwana.[emoji23] antiii na kuona, compact atakufaa zaidi mi naona
Hahahaaa!!! Hili swali mbona mnalikimbia?Mkuu...
Ukweli sijui kama huwatokea na wanaume sababu sijawahi kumkagua mwanaume.
Na kuhusu chanzo ama hutokana na nini, hili sijawahi kujua pia
Ebu ukisha kuongeza kwa huyo tapeli, ukuje nikutathmini tena....[emoji13] [emoji13] [emoji13]We hujui hipsi na tako ni dili sasa hivi, we acha tukaongeze maana mmezidi kutunyanyapaa.
Yaani atahiriwe mwanaume ila matatizo ya uzazi niyapate mimi!!! Au hicho kinyama kinachobakia kwenye uume kina madhara kwa wananwake?Hakuna kitu kama hicho,kwanza hayo ni mateso anapata,ukiwa mzazi utayaona haya
Sio....Si ndio hiyo bawasiri jamani au?
Naona unaharibu biashara ya mleta uzi hapa.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Usikubali kuwa Fungu la kukosa,hata kama umepita kwa waganga 100 umeambiwa una mkosi,hata kama una kinyama au vinyama ...tafuta tiba sahihi,kula mlo sahihi...waza mawazo sahihi.
[emoji15] kumbe ni mtotoeeeSitaki watoto bwana.
Ngoja nikafanye tafiti zangu, after 1 week nitaleta ripotiKwakweli ukweli wanaujua wenyewe
Sawa mkuu, nazidi kupata darsa mujarab kabisa.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hayo ni maumbile tu kama kale kakidole ka sita au kinundu nyuma ya sikio au kisigino kirefu.
Unamaanin baadhi ya makabila Asia hufananisha kinyama hicho na pesa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona unaharibu biashara ya mleta uzi hapa.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Maana hachelewi kusema dawa anayo kwa anae hitaji tiba...[emoji12] [emoji12]
Antie, sample size utachukua wangapi?Ngoja nikafanye tafiti zangu, after 1 week nitaleta ripoti