Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binadamu anakuwekeaje kimkia?
Binadamu kama mshana vilee....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binadamu anakuwekeaje kimkia?
Si ndio hiyo bawasiri jamani au?Mkuu....
Anayo isemea mshana, sio hii kama nimemuelewa vizuri.
Alicho kisemea mshana ni kinyama kidogo. Yaani nikinyama ambacho hakina muundo kama uvimbe na kinamuonekano kama haja ilio salia baada ya kujisaidia
Mungu anakuona ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikaaje [emoji87] [emoji85] [emoji85]
Warts ni kama hizo, lakini zenyewe huota popote mwiliniWarts inahusiana na hicho kinyama ulichoongelea?
Sio hii Mkuu...Hemorrhoids
Ni kinyama kiko kiko njia ya haja kubwa kuelekea ukeni au mwisho wa mfereji wa matako kuingia njia ya haja kubwa....ni kinyama kidogo kama kimkia hakiwashi wala hakiumiSasa kumbe wewe unaongelea nini? Mimi mwenyewe nilijua ndio hiyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Binadamu kama mshana vilee....
Wart nazijua mkuu.Warts ni kama hizo, lakini zenyewe huota popote mwiliniView attachment 538370
Uhakiki wa mkia.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hujui tuu ulivyo ntisha na vimikia, mtu unaweza uwe nacho na usijue eti... Ndo maana nimejikuta naenda kuhakikisha
Mmmmmh!!! Hiko sikijui, nilijua ni bawasiri.Ni kinyama kiko kiko njia ya haja kubwa kuelekea ukeni au mwisho wa mfereji wa matako kuingia njia ya haja kubwa....ni kinyama kidogo kama kimkia hakiwashi wala hakiumi
Vipi umekikuta?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Imebidi nikajichungulie aisee
[emoji15] sasa kinaachwa cha nnKile sio cha asili ni cha kutengenezwa wakati wa tohara
Kwa uzoefu nilioupata katika pitapita.....(usiniulize wapi)Kwahiyo sio hicho anachoongelea mshana?
Yeye anaongelea nini sasa? Hebu nieleweshe tafadhali.