Mmoja tu anatoshaaAntie, sample size utachukua wangapi?
Sawali la kuhusu sodoma na gomora/la, dini yangu hairuhusu hata kulitamka...[emoji13] [emoji13]Hahahaaa!!! Hili swali mbona mnalikimbia?
Eh ngoja nimkague uyuTuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto ,lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia maranyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano ...ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu....na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima
NB: hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Hahahaaaa!! Sawa mkuu.Sawali la kuhusu sodoma na gomora/la, dini yangu hairuhusu hata kulitamka...[emoji13] [emoji13]
Maana minimejaribu kufafanua vile nilivyo wahi kuviona wakati nilipokua kijana...[emoji12] [emoji12]
Hili funzo sio sahihi linaweza likaua kabisa self esteem ya mtu.Ni sawa na kusema Mfupa wa Albino huleta utajiri.
Hili fundisho potofu kama mafundisho menginekinamtesa mwanamke,
Wehauhitaji tiba..? Maana kuna mtu anadalili za kua anayo dawa laivu..[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili nalo swali zuri sana...Yaani atahiriwe mwanaume ila matatizo ya uzazi niyapate mimi!!! Au hicho kinyama kinachobakia kwenye uume kina madhara kwa wananwake?
Kumbe kuna mtu anawalisha tango pori hapa eehhh....[emoji15] [emoji15]Hili funzo sio sahihi linaweza likaua kabisa self esteem ya mtu.Ni sawa na kusema Mfupa wa Albino huleta utajiri.
Namkubali sana Mshana ila mabandiko yake mengi yana impact mbaya katika akili za wengi wasioelewa usahihi wa vitu fulani fulani.Naona unaharibu biashara ya mleta uzi hapa.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Maana hachelewi kusema dawa anayo kwa anae hitaji tiba...[emoji12] [emoji12]
Siwengine tunaamini katika maandiko matakatifu, na ukipata tatizo la kiafya ni kumuona DrHili funzo sio sahihi linaweza likaua kabisa self esteem ya mtu.Ni sawa na kusema Mfupa wa Albino huleta utajiri.
Hapa anaweza akawa sahihi kwa mtazamo wa Giza...sasa kwa mtazamo wa Nuru huo mkia dawa yake kuchemshwa kuliwa soup[emoji23]yani hauna madhara kabisa kama anayoyasema watu wasihofie kabisa.Na madhara watayaona wakiamini anachosema.Kumbe kuna mtu anawalisha tango pori hapa eehhh....[emoji15] [emoji15]
Mimi muumin mzuri sana wa Elimu yeyote ile yenye manufaa kwangu.Siwengine tunaamini katika maandiko matakatifu, na ukipata tatizo la kiafya ni kumuona Dr
Wanakua na kitu kama bawasili?Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto ,lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia maranyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano ...ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu....na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima
NB: hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Umeanza uchochezi...Uhakiki wa mkia.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hatari sana aiseeee....
Umeonaee
Hamna bhanaVipi umekikuta?[emoji23] [emoji23] [emoji23]