Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Hahahaaa!!! Hili swali mbona mnalikimbia?
Sawali la kuhusu sodoma na gomora/la, dini yangu hairuhusu hata kulitamka...[emoji13] [emoji13]
Maana minimejaribu kufafanua vile nilivyo wahi kuviona wakati nilipokua kijana...[emoji12] [emoji12]
 
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto ,lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia maranyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano ...ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu....na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima

NB: hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Eh ngoja nimkague uyu
 
Sawali la kuhusu sodoma na gomora/la, dini yangu hairuhusu hata kulitamka...[emoji13] [emoji13]
Maana minimejaribu kufafanua vile nilivyo wahi kuviona wakati nilipokua kijana...[emoji12] [emoji12]
Hahahaaaa!! Sawa mkuu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wehauhitaji tiba..? Maana kuna mtu anadalili za kua anayo dawa laivu..[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Yaani atahiriwe mwanaume ila matatizo ya uzazi niyapate mimi!!! Au hicho kinyama kinachobakia kwenye uume kina madhara kwa wananwake?
Hili nalo swali zuri sana...
Labda niulize swali,maumbile ya wanaume yanafanana?
 
Naona unaharibu biashara ya mleta uzi hapa.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Maana hachelewi kusema dawa anayo kwa anae hitaji tiba...[emoji12] [emoji12]
Namkubali sana Mshana ila mabandiko yake mengi yana impact mbaya katika akili za wengi wasioelewa usahihi wa vitu fulani fulani.
Ningefurahi kama angekuwa anabandika vitu vyenye positive impact siku moja moja...
Kwa mfano anajua kuwa watu wenye dimples huwa wanakuja kuwa Matajiri sana[emoji6][emoji6]
 
Kumbe kuna mtu anawalisha tango pori hapa eehhh....[emoji15] [emoji15]
Hapa anaweza akawa sahihi kwa mtazamo wa Giza...sasa kwa mtazamo wa Nuru huo mkia dawa yake kuchemshwa kuliwa soup[emoji23]yani hauna madhara kabisa kama anayoyasema watu wasihofie kabisa.Na madhara watayaona wakiamini anachosema.
 
Siwengine tunaamini katika maandiko matakatifu, na ukipata tatizo la kiafya ni kumuona Dr
Mimi muumin mzuri sana wa Elimu yeyote ile yenye manufaa kwangu.
Muumin wa mila na desturi pia...ila mila na desturi zisizoleta faida wala ustawi katika jamii ni za kuchoma moto.Hazifai hata kurithishwa.Hakuna tatizo lisilo na tiba isipokuwa kifo.Sasa Mshana anavoelezea huo mkia utafikiri waliozaliwa nao maisha yao yatakuwa uchungu mtupu,wakt sio sahihi kabisa.
 
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto ,lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia maranyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano ...ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu....na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima

NB: hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Wanakua na kitu kama bawasili?
 
Naona unaharibu biashara ya mleta uzi hapa.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Maana hachelewi kusema dawa anayo kwa anae hitaji tiba...[emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji87] [emoji102]
 
Back
Top Bottom