Kwa uzoefu nilioupata katika pitapita.....(usiniulize wapi)
Nilijifunza aina tatu ya vitu visivyo vya kawaida ambavyo hitokea/huwepo kwenye njia ya haja kubwa.
1: Bawasir, hii hutokea kwa ke na me kwenye njia ya haja kubwa na hutokea kama sehem ya ndani ya kinyeo inataka kutoka nje. Na nimeshuhudia ikitibiwa kwa kufanyiwa upasuaji wa kawaida.
2: Warts, hivi ni vinyama vidogo ambavyo vinamuonekano wa kuchongoka. Hivi hiota hasa kwenye sura, mikononi, miguuni, pembeni ya haja kubwa na pembeni ya uke. Hii inasemekana ikiwa pimbeni ya uke na ukajifungua mtoto kisha kikamgusa, huyo mtoto lazima akufe. Warts najua na nimeshuhudia ikitibiwa kwa kupakaa utomvu wa mti flani hata huisha kabisa.
3: Kimkia ambacho anakizungumzia mleta mada ni, kina muonekano kama kinyama chembene kilicho ishilizia kwa umbo la mchongoko. Kina muonekano laini sana kama kingozi kilicho tokezea kutoka ndani ya sehem ya haja kubwa, ingawa niliwahi kupenkenyua sehem na nikaona kimeungana na sehem ya mwisho wa mlango wa kinyeo. Hiki kinyama kimekaa kama salio ama mabaki ya haja kubwa kana kwamba hapaja safishwa sawaia.