Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Kwa uzoefu nilioupata katika pitapita.....(usiniulize wapi)
Nilijifunza aina tatu ya vitu visivyo vya kawaida ambavyo hitokea/huwepo kwenye njia ya haja kubwa.

1: Bawasir, hii hutokea kwa ke na me kwenye njia ya haja kubwa na hutokea kama sehem ya ndani ya kinyeo inataka kutoka nje. Na nimeshuhudia ikitibiwa kwa kufanyiwa upasuaji wa kawaida.

2: Warts, hivi ni vinyama vidogo ambavyo vinamuonekano wa kuchongoka. Hivi hiota hasa kwenye sura, mikononi, miguuni, pembeni ya haja kubwa na pembeni ya uke. Hii inasemekana ikiwa pimbeni ya uke na ukajifungua mtoto kisha kikamgusa, huyo mtoto lazima akufe. Warts najua na nimeshuhudia ikitibiwa kwa kupakaa utomvu wa mti flani hata huisha kabisa.

3: Kimkia ambacho anakizungumzia mleta mada ni, kina muonekano kama kinyama chembene kilicho ishilizia kwa umbo la mchongoko. Kina muonekano laini sana kama kingozi kilicho tokezea kutoka ndani ya sehem ya haja kubwa, ingawa niliwahi kupenkenyua sehem na nikaona kimeungana na sehem ya mwisho wa mlango wa kinyeo. Hiki kinyama kimekaa kama salio ama mabaki ya haja kubwa kana kwamba hapaja safishwa sawaia.
Mmmmh
 
Namkubali sana Mshana ila mabandiko yake mengi yana impact mbaya katika akili za wengi wasioelewa usahihi wa vitu fulani fulani.
Ningefurahi kama angekuwa anabandika vitu vyenye positive impact siku moja moja...
Kwa mfano anajua kuwa watu wenye dimples huwa wanakuja kuwa Matajiri sana[emoji6][emoji6]
Na wanawake wenye ndevu pia wana bahati zao! Ukisoma mada hii utaona mwishoni nimehoji kinyama cha mwilini kina mahusiano gani na maisha ya mtu...
Naomba tu niseme kweli nimekutana (sio kimwili) na mabinti waliopungua watano (sio wa JF) wanaodai kuwa na hili tatizo mbaya zaidi wanataka tiba za kienyeji na hawa ni kiwakikishi cha wengi wanaopotoshwa na kuingizwa kwenye maagano mabaya kabisa
Kinachonisosonesha muda mwingine ni aina ya uandishi wangu ambao style yake huonekana kwamba am so negative but if you read me between the lines utagundua jambo lingine tofauti kabisa
 
Usisahau kutupia
Ila nakumbuka nlikua mafunzon nchi za ng'ambo kuna binti m1 aliwahi kuwa nacho iko kinyama bt kikatolewaga then, next... yule binti alikuaga anapata matatzo ya kuishiwa nguvu n kuanguka anguka kila mara...

Sasa cjui tatzo ni nn ilikuwa... Mana b4 hajakitoa alikuaga fiti tu
 
Na wanawake wenye ndevu pia wana bahati zao! Ukisoma mada hii utaona mwishoni nimehoji kinyama cha mwilini kina mahusiano gani na maisha ya mtu...
Naomba tu niseme kweli nimekutana (sio kimwili) na mabinti waliopungua watano (sio wa JF) wanaodai kuwa na hili tatizo mbaya zaidi wanataka tiba za kienyeji na hawa ni kiwakikishi cha wengi wanaopotoshwa na kuingizwa kwenye maagano mabaya kabisa
Kinachonisosonesha muda mwingine ni aina ya uandishi wangu ambao style yake huonekana kwamba am so negative but if you read me between the lines utagundua jambo lingine tofauti kabisa
Lakini umesema kuwa wameliwa sana kwa waganga...seems tatizo lao ni la 'kimila'...ila wameshindwa kupata ufumbuzi...ukiona hivyo ujue kule sio tiba sahihi ilipo wala sio sahihi kuwa kinyama kinawakosesha bahati ila mambo mengine tu.
Wakatambike tu kwao huenda kuna mambo mengine sio kimkia.
 
Back
Top Bottom