Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Imenibidi nimkumbuke binti mmoja alitokewa akiwa kdt cha 2(akafanyiwa operation) ila sasa ameolewa na ana watoto watatu.
Kuna vijana wawili pia ziliwatokea kwa nyakati tofauti mmoja tayari ana mtoto, mwingine bado mdogo ndio yuko kdt cha 6.

Kwa imani yako mshana ni kuwa hao watoto wao watakufa?
Mkuu.....
Hiyo unayo isema inaitwa Bawasir sina hakika na inavyo andikwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Antie umenichekesha!! Hilo ni tatizo la kiafya bwana,ungekuwa nalo nadhani ungeshajua.
Antie
Binadamu sio wema kabisaa, hawashindwi kukuwekea mkia atii
 
Hilo ni tatizo, kwahiyo sidhani kama kuna mtu anapenda apatwe na tatizo!! Lakini nimeona ameongelea upande wa wanawake tu nikataka kujua je ikitokea kwa wanaume kinakuwa hakina hiyo mikosi?
Unacho nini?? Jamani mbona somo geni kwangu jamani??
 
images
Kuna Internal na External.
Mkuu....
Anayo isemea mshana, sio hii kama nimemuelewa vizuri.
Alicho kisemea mshana ni kinyama kidogo. Yaani nikinyama ambacho hakina muundo kama uvimbe na kinamuonekano kama haja ilio salia baada ya kujisaidia
 
mh mi sijawai kukaona kiongozi kumbe kuna wanawake wanavimkia ....na je kama iko kamkia kako kwa mwanaume inakuaje ? Vice versa au? Au haipo kwa wanaume ?

Mi mbona ninacho mkuu kwa sisi wanaume itakuwa ni bahati
 
Back
Top Bottom