Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Basi hicho ninachoongelea sio warts.Hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hicho ninachoongelea sio warts.Hapana
Sasa kumbe wewe unaongelea nini? Mimi mwenyewe nilijua ndio hiyo.Hapana huo ni ugonjwa
YapKumbe ni mrefu eeeh
Mkuu.....Imenibidi nimkumbuke binti mmoja alitokewa akiwa kdt cha 2(akafanyiwa operation) ila sasa ameolewa na ana watoto watatu.
Kuna vijana wawili pia ziliwatokea kwa nyakati tofauti mmoja tayari ana mtoto, mwingine bado mdogo ndio yuko kdt cha 6.
Kwa imani yako mshana ni kuwa hao watoto wao watakufa?
Antie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Antie umenichekesha!! Hilo ni tatizo la kiafya bwana,ungekuwa nalo nadhani ungeshajua.
Unacho nini?? Jamani mbona somo geni kwangu jamani??Hilo ni tatizo, kwahiyo sidhani kama kuna mtu anapenda apatwe na tatizo!! Lakini nimeona ameongelea upande wa wanawake tu nikataka kujua je ikitokea kwa wanaume kinakuwa hakina hiyo mikosi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] khaa umeniacha hoi kwa kweliTatizo ni hofu kwa wanaume.. Maana wanaona ni ajabu sana mtu kuwa na kamkia
Hakipo aisee.. Ila inabidi niwe makini, binadamu hawashindwi kuniwekea kamkiaUmekiona...?
Hapana Bro.kwa hilo labda Mtoa mada aniruhusu.Mkuu leta kipicha mimi hapa nimekuwa kilaza labda kwa kapicha nitaelewa [emoji23]
Sisi yetu magovi tuuKwa wanaume sijui kwakuwa sijawahi kufanya utafiti[emoji85] [emoji85]
Kwahiyo sio hicho anachoongelea mshana?Mkuu.....
Hiyo unayo isema inaitwa Bawasir sina hakika na inavyo andikwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakipo aisee.. Ila inabidi niwe makini, binadamu hawashindwi kuniwekea kamkia
Mkuu....Kuna Internal na External.![]()
mh mi sijawai kukaona kiongozi kumbe kuna wanawake wanavimkia ....na je kama iko kamkia kako kwa mwanaume inakuaje ? Vice versa au? Au haipo kwa wanaume ?