Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Kwa uzoefu nilioupata katika pitapita.....(usiniulize wapi)
Nilijifunza aina tatu ya vitu visivyo vya kawaida ambavyo hitokea/huwepo kwenye njia ya haja kubwa.

1: Bawasir, hii hutokea kwa ke na me kwenye njia ya haja kubwa na hutokea kama sehem ya ndani ya kinyeo inataka kutoka nje. Na nimeshuhudia ikitibiwa kwa kufanyiwa upasuaji wa kawaida.

2: Warts, hivi ni vinyama vidogo ambavyo vinamuonekano wa kuchongoka. Hivi hiota hasa kwenye sura, mikononi, miguuni, pembeni ya haja kubwa na pembeni ya uke. Hii inasemekana ikiwa pimbeni ya uke na ukajifungua mtoto kisha kikamgusa, huyo mtoto lazima akufe. Warts najua na nimeshuhudia ikitibiwa kwa kupakaa utomvu wa mti flani hata huisha kabisa.

3: Kimkia ambacho anakizungumzia mleta mada ni, kina muonekano kama kinyama chembene kilicho ishilizia kwa umbo la mchongoko. Kina muonekano laini sana kama kingozi kilicho tokezea kutoka ndani ya sehem ya haja kubwa, ingawa niliwahi kupenkenyua sehem na nikaona kimeungana na sehem ya mwisho wa mlango wa kinyeo. Hiki kinyama kimekaa kama salio ama mabaki ya haja kubwa kana kwamba hapaja safishwa sawaia.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Aiseeee!!!

Ila nawe mfukunyuku[emoji85] [emoji85]
Kwahiyo hii inawatokea wanawake tu? Na chanzo chake ni nini?
 
Dawa ipo ..nguvu za kiume bawasir..siko cell ..kukuza uume na kunenepesha ..kukuza hips na makalio..piga dr bingwa wa mitishamba toka tanga 0744903557
Ebu nawewe usitutapeli hapa....
Dawa ya Bawasir ni kuondolewa kwa kufanyiwa upasuaji tu. Na hayo matangazo yako ya nguvu za kiume na hips (utapeli), nivema ukaanzisha uzi wako kwenye jukwaa la matangazo kuliko kuja hapa kututoa kwenye mstari na kuvuruga mada za watu
 
Mshana Jr,navyo faham mm nikwamba,mwanamke baada ya kujifungua ndio hiyo kitu hujitokeza lakini sio wote,huwa kinazid zaidi ule mwezi aliojifungua,naskia kunavidonge vinene kama dole gumba huvisokomeza huko ili kutib,japo tati libak constant .
 
Si ndio hiyo bawasiri jamani au?
Unacho ongelea ni sahihi na ndicho alichomaanisha yeye.Ila too bad mshana ni very negative,usipimwangalia sometimes atakulisha vitu vya kiganga kabisa.Bawasiri ina mitazamo miwili.Yeye anatazama kiganga zaidi na kiupotofu.Ni sawa kipindi kile mtu akiugua UKIMWI....anapelekwa kwa mganga.BAWASIRI INATIBIKA.HAIUI MTOTO WALA KUVUNJA NDOA...HAYA MAFUNDISHO POTOFU.Msiogope jamani 80% of the total population wanaugua bawasiri katika stage mbali mbali za maisha.Usipopata ujanana hata uzeen ukibahatika waweza pata.
 
Kwa uzoefu nilioupata katika pitapita.....(usiniulize wapi)
Nilijifunza aina tatu ya vitu visivyo vya kawaida ambavyo hitokea/huwepo kwenye njia ya haja kubwa.

1: Bawasir, hii hutokea kwa ke na me kwenye njia ya haja kubwa na hutokea kama sehem ya ndani ya kinyeo inataka kutoka nje. Na nimeshuhudia ikitibiwa kwa kufanyiwa upasuaji wa kawaida.

2: Warts, hivi ni vinyama vidogo ambavyo vinamuonekano wa kuchongoka. Hivi hiota hasa kwenye sura, mikononi, miguuni, pembeni ya haja kubwa na pembeni ya uke. Hii inasemekana ikiwa pimbeni ya uke na ukajifungua mtoto kisha kikamgusa, huyo mtoto lazima akufe. Warts najua na nimeshuhudia ikitibiwa kwa kupakaa utomvu wa mti flani hata huisha kabisa.

3: Kimkia ambacho anakizungumzia mleta mada ni, kina muonekano kama kinyama chembene kilicho ishilizia kwa umbo la mchongoko. Kina muonekano laini sana kama kingozi kilicho tokezea kutoka ndani ya sehem ya haja kubwa, ingawa niliwahi kupenkenyua sehem na nikaona kimeungana na sehem ya mwisho wa mlango wa kinyeo. Hiki kinyama kimekaa kama salio ama mabaki ya haja kubwa kana kwamba hapaja safishwa sawaia.
Ok hicho kimkia kweli kina madhara kama anayosema mshana?
 
Ebu nawewe usitutapeli hapa....
Dawa ya Bawasir ni kuondolewa kwa kufanyiwa upasuaji tu. Na hayo matangazo yako ya nguvu za kiume na hips (utapeli), nivema ukaanzisha uzi wako kwenye jukwaa la matangazo kuliko kuja hapa kututoa kwenye mstari na kuvuruga mada za watu
We hujui hipsi na tako ni dili sasa hivi, we acha tukaongeze maana mmezidi kutunyanyapaa.
 
Si ndio hiyo bawasiri jamani au?
Bawasir ni nyama inayotoka hasa pale unapo sukuma haja kubwa kwa kutumia nguvu nyingi, na hutoka mfano wa mlango wa njia ya haja kubwa hutaka kutoka nje
 
Unacho ongelea ni sahihi na ndicho alichomaanisha yeye.Ila too bad mshana ni very negative,usipimwangalia sometimes atakulisha vitu vya kiganga kabisa.Bawasiri ina mitazamo miwili.Yeye anatazama kiganga zaidi na kiupotofu.Ni sawa kipindi kile mtu akiugua UKIMWI....anapelekwa kwa mganga.BAWASIRI INATIBIKA.HAIUI MTOTO WALA KUVUNJA NDOA...HAYA MAFUNDISHO POTOFU.Msiogope jamani 80% of the total population wanaugua bawasiri katika stage mbali mbali za maisha.Usipopata ujanana hata uzeen ukibahatika waweza pata.
Yeye na ushimen wamesema washakutana na vimkia kabisaaaa, sio bawasiri. Au ukute walikutana navyo kwenye ulimwengu wao wa roho alafu wanatutisha hapa!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Usikubali kuwa Fungu la kukosa,hata kama umepita kwa waganga 100 umeambiwa una mkosi,hata kama una kinyama au vinyama ...tafuta tiba sahihi,kula mlo sahihi...waza mawazo sahihi.
Wonderful n beautiful one![emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Yeye na ushimen wamesema washakutana na vimkia kabisaaaa, sio bawasiri. Au ukute walikutana navyo kwenye ulimwengu wao wa roho alafu wanatutisha hapa!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kama ni vimkia hivyo haviwapati wanaume???
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Aiseeee!!!

Ila nawe mfukunyuku[emoji85] [emoji85]
Kwahiyo hii inawatokea wanawake tu? Na chanzo chake ni nini?
Mkuu...
Ukweli sijui kama huwatokea na wanaume sababu sijawahi kumkagua mwanaume.
Na kuhusu chanzo ama hutokana na nini, hili sijawahi kujua pia
 
Hayo ni maumbile tu kama kale kakidole ka sita au kinundu nyuma ya sikio au kisigino kirefu.
Unamaanin baadhi ya makabila Asia hufananisha kinyama hicho na pesa?
 
Back
Top Bottom