Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Basi una nyota ya mikia, hebu jichungulie.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kitaalamu kinaitwa basiri,... Ni kinyama kinachotokea kwa wanaume na wanawake wenye gene ya aina flan ila kinatibika,..Mara nyingi kina endan na sehemu zenye fistula,... Ccbrt wanatibu u ugonjwa was basiri na fistula pia,.. Mama usifate njia potofu nenda hospital watakusaidia usihofu,..
Sizungumzii kuhusu magonjwa ya bawasiri na bakatibu

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Tang u nizaliwe nikakua nikawa na akili Leo ndo nasikia hiki kitu,sijawh kukisikia hata kidogo its a breaking news to me
Umezaliwa lini?

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Duh [emoji15] kwa iyo ni nn,

Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimeshawahi kukutana na binti mwenye hako kamkia kadogo.ni kama kimfupa hivi kidogo chini ya kiuno karibu na mwanzo wa mfereji .
Alafu huyo bint aliwahi kuolewa na akapata mtoto lakini ndoa yake alivunjika na mtoto amefariki.
Sasa huyo bint amekuwa hana furaha kabisa ktk maisha yake amekuwa yuko kwenye sress muda wote.
Sijui kuna ukweli na aliyosema member mmoja kuhusu mahusiano na msichana wa aina hiyo ?

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Wewe ni jinsia gani nichangie kwbb maalum kukusaidia either ke or Me

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Weka name picha mkuu

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom