Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hembu toa somo sasa mana naona kma nawe yamekukuta ya mkiya.Hemorrhoids
sio kali sana mzee wa mitishamba wewe una mkiya ila tu mkiya wako uko kwa mbele.Duuu hii kali
weye vipi huna mkiya?Aisee kuna mdada anako hako kamkia chini kidogo ya kiuno karibia na ule mfereji wa suez/panama.matatizo uliyoyaelezea ya kukosa furaha na nuksi yanalandana kabisa na situasheni aliyokuwa nayo yule dada,mie mwenyewe nlitemana naye ndani ya muda mfupi japo alikuwa mzuri sana
tunalogwa sasa hivi sasa huyo nyau wa nini hapaView attachment 538367[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sakayo mbavu zangu eeh !
umesema kweli hasa wanaume sio wema ukikaa vibya tu unawekewa mkiya kwenye jicho.Antie
Binadamu sio wema kabisaa, hawashindwi kukuwekea mkia atii
mkiya wa kiumeniHakipo aisee.. Ila inabidi niwe makini, binadamu hawashindwi kuniwekea kamkia
haya toa somo ssa wengine humu ni wahanga wa mikiya tena mbeleni kisimi kinarefuka kama mkiya wa kiboko.Hivi ni vikanga. Vyaeeza kuwa mbeleni ama nyuma.
Though kuna wale wenye hawaiti kwsabb ya ujauzito ama constipation. Hivi sio vikanga.
Dawa ya vikanga ni mnafu
Sent using Jamii Forums mobile app
naona kamkia kanakusumbua muone gfsowin anayo tibaDunia bwana ina mambo mengi sanaa,vinatibika vile vidude, kuna mtu namfaham alipewa dawa na wamama wa kimasai kikaisha,lkn pia hivi mwenzako akiwa na tatizo ndo umkimbie kwann basi usiangalie namna ya kumsaidia?
heheee mnafu tena?Hivi ni vikanga. Vyaeeza kuwa mbeleni ama nyuma.
Though kuna wale wenye hawaiti kwsabb ya ujauzito ama constipation. Hivi sio vikanga.
Dawa ya vikanga ni mnafu
Sent using Jamii Forums mobile app
manii tatu au mbili nini hichohuwezi kujua bhana duuuh
mnaonekana mnachunguzaaaa, mbona sisi hatuchunguzi zile manii zenu kama ziko tatu au mbili kawaida?
nacheka tu mwenyewe hapa
teh teh
unamwaga siri zako zoote kwa uzembe.unacheka badala ya kujibu? au unafikiri ziko sawa zote
teh teh
poa tu usijaliunamwaga siri zako zoote kwa uzembe.
nimekua na ila hapo umeniacha mwaya.tulia ukikua utajua
teh teh
poa basipoa tu usijali
amani yangu furaha yangu