Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

mimi ni mmoja kati ya wanawake wenye hicho kinyama,mwanzoni nilihisi kama ni tatizo na anilijaribu kuonana na madaktri mpka nje ya nchi lakini wote walisema sio tatizo bali ni maumbile mtu anazaliwa nayo na haina madhara yoyote kiafya,

niwatoe tu hofu,sijawahi kukutan na mkosi wala maisha ya uchungu,nipo kwenye ndoa mwaka saba sasa na nina watoto watatu, sijawahi kupata shida ya uzazi wala kufiwa na watoto,kiufupi nakula maisha wala sina stress

naomba watu wasipotoshwe kwa hili,sio sahihi, nina uhakika na ninachokisema
 
Hongera kwa kufunguka kiasi hiki na kutumia mfano wako mwenyewe ili kuthibitisha kauli yako.

mimi ni mmoja kati ya wanawake wenye hicho kinyama,mwanzoni nilihisi kama ni tatizo na anilijaribu kuonana na madaktri mpka nje ya nchi lakini wote walisema sio tatizo bali ni maumbile mtu anazaliwa nayo na haina madhara yoyote kiafya,

niwatoe tu hofu,sijawahi kukutan na mkosi wala maisha ya uchungu,nipo kwenye ndoa mwaka saba sasa na nina watoto watatu, sijawahi kupata shida ya uzazi wala kufiwa na watoto,kiufupi nakula maisha wala sina stress

naomba watu wasipotoshwe kwa hili,sio sahihi, nina uhakika na ninachokisema
 
Naona watu wanacomment kwa kufata imani potofu wakati hili ni tatzo la kiafya ambalo linaweza kumpata yeyote hapa hata ndani ya week 2 zijazo, ni matokeo tu ya kuvimba kwa mishipa midogo ya dam kwenye seem ya haja kubwa either kwa ndani au kwa nje, hali ambayo huletekezwa na mgandamizo mkubwa Wa mishipa hiyo. Hivo hakuna cha mikosi wala balaa, watu waliopo katika hatari ya kupata tatzo hili
1. Wenye uzito mkubwa na kitambi
2. Wajawazito
3. Wanaougua magonjwa ya kuhara Mara kwa Mara
4. Wanaotumia mda mwingi kukaa kwenye kiti
5.wasiofanya mazoezi
Tabia hatarishi ni kama kutokunywa Maji mengi, kujikaza sana wakati Wa kutoa haja kubwa, kudely kutoa haja, na ulaji Wa vyakula vilivyosindikwa kwa wingi.
Hivo hakuna haja ya kuwatuhumu wanawake pekee, mm ni mtumishi Wa afya napata kesi nyingi kutoka kwa wanaume kuliko hata wanawake.
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
basi ujue nimekusareee tu sababu wewe ni me kwaheriiiiii ila kumbuka king mswati the son of sobuza chakula chake kikuu ni mavuzi ya wanawake yaliosagwa unga na kuchanganywa na ulezi mtama maziwa na asali yeye hula asubuhi mchana na usiku
 
Back
Top Bottom