Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Wakuu,
Poleni na tozo na hivyo baada ya kupeana pole kwa maumivu hayo basi ni wakati muafaka kabisa wa sisi wana tozonia kushea pamoja mada moto moto zilizowahi kuwa posted hapa Jf mada ambazo zinasisimua mno, zina burudisha ,kuelemisha ,kutoa maonyo na miongozo.
Tafadhali weka link yake hapa tusome pamoja.
Asanteni.
Ndimi,
Mwanatozo mwandamizi.
Dashlamu