Mada za kusisimua hapa JF ambazo ukizisoma unatamani zisiwe na ukomo

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Wakuu,

Poleni na tozo na hivyo baada ya kupeana pole kwa maumivu hayo basi ni wakati muafaka kabisa wa sisi wana tozonia kushea pamoja mada moto moto zilizowahi kuwa posted hapa Jf mada ambazo zinasisimua mno, zina burudisha ,kuelemisha ,kutoa maonyo na miongozo.

Tafadhali weka link yake hapa tusome pamoja.

Asanteni.

Ndimi,

Mwanatozo mwandamizi.

Dashlamu
 
Tafadhali weka link yake hapa tusome pamoja.
Both Teleplayed by Me ✌️

Mada yangu pendwa ni Wazee wa Road Trip mpo?lazima nipite humu zaidi ya mara tatu kwa siku, ninajifunza na kuelimika mno yanayojadiliwa ndani ya Mada hii na uzuri wachangiaji wote wanaongelea vitu halisi, mfano mchangiaji akiwa anasafiri ndani ya T1 anapost yale anayoyaona kwa wakati ule sio story za vijiweni kudos kwa mtoa mada hii na salutes kwa wachangiaji wote, hii Mada isifikie mwisho
 
Iweke hapa tuburudike wote.
 
Ukweli wa kustaajabisha kuhusu nyota

Mwandishi monstgla au mgalanjuka

Lakini mada yenyewe ilishafungwa, sijui kwanini! Ipo jamii intelligence pale.
 
Asante sana mkuu.
 
Mada yangu pendwa ni Wazee wa Road Trip mpo?lazima nipite humu zaidi ya mara tatu kwa siku, ninajifunza na kuelimika mno yanayojadiliwa ndani ya Mada hii na uzuri wachangiaji wote wanaongelea vitu halisi, mfano mchangiaji akiwa anasafiri ndani ya T1 anapost yale anayoyaona kwa wakati ule sio story za vijiweni kudos kwa mtoa mada hii na salutes kwa wachangiaji wote, hii Mada isifikie mwisho
 
Mi mada yangu pendwa ni ile, 'hivi wanaoenda chumvini wana akili kweli?'
 
Back
Top Bottom