Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

Yanii mamaee...Mpaka kikukuuu mamaee ndugaii[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] huu ungesee sanaa...
Bungeni kaenda kama nani?
Nini hasa kimempeleka bungeni
Lazima alivutwa huko
Huyo lazima atakuwa kuna big fish in the pound anamlaaa

Ova
 
Hahahaha ataongeza cha chu ya maendeleo? Dah! !!
 
Hatar sana yaani huyu wakwenda bungeni? Ndo mana yamezima bunge maana hamna yanachofanya
Kwa kweli. ..Yaani bunge lime kuwa kama soko. .kila mtu anaingia tu foolish. ...

Hahah nyinyi endeleeni kujifanya mnafanya vitu serious tu vya msingi ...nchi hii ukifanya mambo ya kipuuzi ndio unapata channel za kufanikiwa maisha
 
Wanasema ukipewa uzuri without brain private parts suffer the most kwa nnavyowajua wabunge wata mmbato huyu hadi iote sugu manake mule mule ndani wenyewe wanatafunana balaaaaa kuna chain moja ya hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…