Madada wa mujini, role model wenu anajitapa kuitafuta ndoa ya tano

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Baada ya kuikimbia ndoa ya nne Dida shaibu amejitapa kuwa tayali yupo kwenye mahusiano mapya na mwakani 2022 ataolewa tena ndoa ya tano.

Dida amesema wakati anafunga ndoa na mhe.Kumbilamoto kuna mtu mwingine ambae alikuwa nae kwenye mahusiano lakini mapenzi yao yalikufa baada ya yeye kuolewa.

Na sasa ameamua arudi kwa mpenzi wake wa awali ambaye ni kijana.

Katika utetezi wake Dida anasema "kaachwa mama Neilson Mandela atakuwa yeye!!" na kuwataka watu waache kumdisi.

Ikumbukwe wakati anaolewa Dida alisema huyo ndiye atakaekuwa mume wake wa kufa na kuzikana.

1640590669535.png
 
Baada ya kuikimbia ndoa ya nne Dida shaibu amejitapa kuwa tayali yupo kwenye mahusiano mapya na mwakani 2022 ataolewa tena ndoa ya tano, Dida amesema wakati anafunga ndoa na mhe.Kumbilamoto kuna mtu mwingine ambae alikuwa nae kwenye mahusiano lakini mapenzi yao yalikufa baada ya yeye kuolewa,

View attachment 2059224
Life kweli haiko fea,wakati wenzake wanasaka ndoa had kwa waganga yeye ashapiga ndo nne anaitafuta ya tano, kubabake walah!!
 
Baada ya kuikimbia ndoa ya nne Dida shaibu amejitapa kuwa tayali yupo kwenye mahusiano mapya na mwakani 2022 ataolewa tena ndoa ya tano, Dida amesema wakati anafunga ndoa na mhe.Kumbilamoto kuna mtu mwingine ambae alikuwa nae kwenye mahusiano lakini mapenzi yao yalikufa baada ya yeye kuolewa,
Na sasa ameamua arudi kwa mpenzi wake wa awali ambaye ni kijana.

Katika utetezi wake Dida anasema "kaachwa mama Neilson Mandela atakuwa yeye!!" na kuwataka watu waache kumdisi.
Ikumbukwe wakati anaolewa Dida alisema huyo ndiye atakaekuwa mume wake wa kufa na kuzikana.

View attachment 2059224
Sio habari hii
 
Ndiye huyo
Duh! Basi she has serious problem ingawaje kwa wanawake wanaweza kuchukulia eti ana bahati!! Labda ni kweli ana bahati manake, Mungu anisamehe!

Mbona namuona hana mvuto wowote ule, na wala haielekei kama ana great social cv lakini bado anaweza kuolewa na kuachika na kuolewa tena kirahisi rahisi tu!!

Ni kama Wastara, ambae labda yeye inambeba rangi manake wanaume wengine kwa wanawake wenye rangi huwa huwaambii kitu; sasa dadangu huyu!!!
 
Back
Top Bottom