Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Baada ya kuikimbia ndoa ya nne Dida shaibu amejitapa kuwa tayali yupo kwenye mahusiano mapya na mwakani 2022 ataolewa tena ndoa ya tano.
Dida amesema wakati anafunga ndoa na mhe.Kumbilamoto kuna mtu mwingine ambae alikuwa nae kwenye mahusiano lakini mapenzi yao yalikufa baada ya yeye kuolewa.
Na sasa ameamua arudi kwa mpenzi wake wa awali ambaye ni kijana.
Katika utetezi wake Dida anasema "kaachwa mama Neilson Mandela atakuwa yeye!!" na kuwataka watu waache kumdisi.
Ikumbukwe wakati anaolewa Dida alisema huyo ndiye atakaekuwa mume wake wa kufa na kuzikana.