Messi wa bongo
Member
- Feb 12, 2020
- 5
- 0
Wadau hili nikweli au madagasca wanatuzuga kuwa wamepata dawa ya corona
Kama kikombe cha babu tu,JK pia alikunywa. Hakuna dawa mpaka sasa ya kutibu Virus.
ni kweli wamepata wanasema inatibu ndani ya siku sabaWadau hili nikweli au madagasca wanatuzuga kuwa wamepata dawa ya corona
mkuu si ndo kujaribu kwenyew tibaKuna tatizo kubwa sana africa..yani yule mzee alivyowachota akili angeamua kuwadhuru basi watu wangekufa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani atakwambia haina viwango au WHO hawajatimiza wajibu wao.ni kweli wamepata wanasema inatibu ndani ya siku saba
tuombe Mungu iwe kweli mana hali mbaya
๐๐๐๐Watugawie nasisi๐
So haiwezi patikana huku?Kama kikombe cha babu tu,JK pia alikunywa. Hakuna dawa mpaka sasa ya kutibu Virus.
Inaitwa nnWamepata
dawaInaitwa nn
weweWamepata