Tetesi: Madagasca wamepata dawa...nilimuona hata Rais wao anakunywa

Tetesi: Madagasca wamepata dawa...nilimuona hata Rais wao anakunywa

Mkuu kama ni kweli hizo dawa WHO na washirika wake watazipiga vita sana,wapo watu wanafaidika na hili janga unaweka kukuta hata chanjo ipo ila wanachelewesha
ni kweli wamepata wanasema inatibu ndani ya siku saba
tuombe Mungu iwe kweli mana hali mbaya

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Wadau hili nikweli au madagasca wanatuzuga kuwa wamepata dawa ya corona
Kila nchi ina uwezo wa kupata Samunge yake. Tofauti ni madoido tu.

Rais kunywa haimaanishi ni kitu cha uhakika. Ipo kiimani zaidi.
 
Wapi Gwajima, Lusekelo, Mwamposya Suguye ,huu ndiyo ulikuwa muda wao kututhibitishia nguvu za maombi yao.
Mara sijui Mafuta ya upako,keki za upako .
 

Attachments

  • IMG-20200422-WA0021.jpg
    IMG-20200422-WA0021.jpg
    27.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom