Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Yule tapeli lilikuwa ni zao la kuwadiverg watu wasahau kidogo kuhusu Richmond ccm huwa awashwindwi kitu ilikuwa ni kupooza joto la RichmondKuna tatizo kubwa sana africa..yani yule mzee alivyowachota akili angeamua kuwadhuru basi watu wangekufa sana
Sent using Jamii Forums mobile app