Tetesi: Madagasca wamepata dawa...nilimuona hata Rais wao anakunywa

Tetesi: Madagasca wamepata dawa...nilimuona hata Rais wao anakunywa

Vipi nasi wataalamu wetu wanajishughulisha kutafuta dawa ama wanasubiri na wao waletewe
 
Wanasubili waletewe kisha waingie maabara kudhibitisha kama inatibu au laa, sasa kama huna uwezo wa kutengeneza utajuaje kama hii ni dawa sahihi? Ila napita tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwape ruhusa sasa wazee wa tiba za asili kama wanaweza kutuonyesha maajabu kama ya babu wa loliondo
 
Askari tulivyobarikiwa Misitu naamini katika Misitu hiyo ya Asili Kuna miti mingine Ni dawa ya Corona.
Congo wameweza kuwa na vumbi,mundende wanashindwaje kupata dawa ya Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa tiba asili wamesajiliwa na wanajulikana.
Wangeitwa na kupewa orodha ya dalili za COVID-19,utashangaa kila mganga wa dawa za asili akapata anachoweza kutibu,sio lazima tusubiri wanasayansi waende maabara kufanya utafiti.

Tuanza na watoa tiba asilia,tutumie michango iliyotolewa na wadau kuwashirikisha katika kutambus na kutibu dalili za COVID-19,tutajikuta tumepata matokeo ya kutusaidia kwa namba moja au nyingine.
 
Back
Top Bottom