Tiba za huu ugonjwa hata hapa Tanzania upo ,ila sisi tumezidi kudharau vya kwetu kutukiza vya watu weupe(Wazungu) na ndugu zao. Humu foramuni wadau wanapendekeza dawa tofautitofauti kamavile
maji yavuguvuguyaliyochanganywa na chmvi, kusukutua na kutema.
Kujifukiza mchemsho wa majani ya muarobaini.
Au kujifukiza maji ya moto yaliyochanganywa na vicks(vapo rub).
kunywa maji au chai iliyochangwa na ndimu au limau, tangawizi, kitunguu saumu. Lakini waswahili tunadhau sana tunathamini vya wazungu ambavyo vina sumu nyingi mwilini.