Taarifa ni kuwa mfumo wa Huduma za Afya nchini Madagascar umeelemewa na wagonjwa, hospitali zote zimejaa wagonjwa, hali ni mbaya.
Serikali imeomba msaada wa mashine zaidi ya 1,000 za kupumulia. Hospitali zinapokea wagonjwa mahututi pekee kwa sababu wagonjwa wakejaa...
Ajabu na kweli pana watu wamenuna na kufura kwa hasira kwa habari hii ya kusikitisha kufahamika.
Kwa hakika hawawezi kuwa na majina mengine zaidi ya kuwa ni "wachawi au wanga" wenyewe.