Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Ilitokea kigoma gani? Mimi mzawa wa kigoma katkika ukoo ni mtu mmoja tu aliugua ukimwi.Hakuna mwingine zaidi ya miaka ishirini na ukoo w apande zote una watu zaidi ya 300.Wewe kwenu ndio walipukutika,sisi tupo tunadunda..Kigoma unaweza piga hata mademu watano na usipate vvu Ila sio Njombe,Iringa Mbeya,Bukoba.kigoma ni kati ya mikoa yenye takwimu ya chini ya vvu kulinganisha na mikoa mingine.Hio hali ilitokea kama ilivyo sasahivi watu hawaamini kama kuna korona